The Bourne
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 1,077
- 1,321
Huyo ni mkuu wa wakuu wa miko,Kwahiyo wakuu wa mikoa wanaruhusiwa kuvaa tshet na jinsi wawapo kaxin?
Huyo ni mkuu wa mawaziri
Huyo ni naibu waziri mkuu
Huyo ni makamo wa pili wa raisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni mkuu wa wakuu wa miko,Kwahiyo wakuu wa mikoa wanaruhusiwa kuvaa tshet na jinsi wawapo kaxin?
....Hivi hizi saluti zinapigwa katika mazingira gani?YASEMEKANA BASHITE NOW NAWALAZIMISHA WATU WAMUITE MALIYAMUNGU BAADA YA UTENDAJI KAZI ULIOTUKUKA NA SIFA KIBAO KUTOKA NJE NA NDANI YA MIPAKA YETU.
IKUMBUKWE JINA HILO KALIRITHI KUTOKA KWA ALIYEKUWA MFANYAKAZI MTIIIFU WA RAISI IDD AMIN DADA, ALIESIFIKA KWA KUFUATA MAELEZO KWA UMAKINI SANA BILA MAKOSA
BASHITE AKA MALIYAMUNGU
UBARIKIWE
Hawaonekani mkuu!Wako wapi watu wako?
Isaac Maliyamungu alikuwa katili wa kutisha akiwa mwandani wa Idd Amin. Alikuwa katili ambaye hata Idd Amin alifika mahali akasema nadhani huyu ni kichaa. Maliyamungu alimuua mayor wa Masaka kwa kumkata sehemu za siri mbele ya watu na kumchopoa vipande vipande mbele za watu mpaka akafa. Ndiye huyu tunaye anakoelekeaYASEMEKANA BASHITE NOW NAWALAZIMISHA WATU WAMUITE MALIYAMUNGU BAADA YA UTENDAJI KAZI ULIOTUKUKA NA SIFA KIBAO KUTOKA NJE NA NDANI YA MIPAKA YETU.
IKUMBUKWE JINA HILO KALIRITHI KUTOKA KWA ALIYEKUWA MFANYAKAZI MTIIIFU WA RAISI IDD AMIN DADA, ALIESIFIKA KWA KUFUATA MAELEZO KWA UMAKINI SANA BILA MAKOSA
BASHITE AKA MALIYAMUNGU
UBARIKIWE
Hii ni Mali ya Facebook.Kwahiyo wakuu wa mikoa wanaruhusiwa kuvaa tshet na jinsi wawapo kaxin?