Pre GE2025 Bashungwa akiwa kilabuni na baadhi ya wananchi jimboni kwake wakimpigia chapuo Rais Samia pamoja na yeye kuchaguliwa tena 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mkuu, imebidi tu nikupe 'like' kwenye bandiko lako hili, lakini uhalisia wake haupo.

Unamzungumzia nani ndani ya CC ya CCM. Hivi unawajuwa waliomo kwenye hiyo CC?
Halmashauri Kuu ya Chama unajuwa imejaa watu gani?

Sema hivi nikuelewe: Samia mwenyewe aamue kuepuka aibu, akiona chama na vyombo vyake vyote serikalini visiwe tayari kumrudisha kwa nguvu, kwa kuvuruga uchaguzi.

Tanzania hii hatapatikana tena atakayekuwa zaidi ya Magufuli katika maswala mabovu kama yale yaliyomuondolea sifa hata katika mambo mazuri aliyokuwa akitenda.

Baada ya kuyasema hayo, nimalize kwa kuungana nawe kuomba apatikane kiongozi asiyevumilia upumbavu katika maswala ya kuendesha nchi hii. Huyo nami nitamuunga mkono.
 
Kuna mmkoja amegalagala huko geita hadi naskia eti akakaa vibaya...🤣
 
Kumbe na karagwe kuna takataka kam hizi
 
Jopo la wa Tutsi.
 
Kwenye clip hiyoya walevi, sijamuona hapo Bashungwa ila nimesikia akitajwa.
 
Kila nikimuangalia Bashungwa naona kama si Mrundi ni Mnyarwanda.
 
Tutapitisha Sheria kwamba ni lazima mbunge kushinda Jimboni kwake akishiriki KAZI za maendeleo,hatoruhusiwa kuzurura zurura ovyo Ili kuepuka usanii kama huu na kukichafua chama eti tunafanya maigizo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…