Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Jambo pekee naloweza kumwambia Bashungwa Muda huu hapa, Ile ndoto yake ya kua Rais ASAHAU !! HAITOTOKEA AWE RAIS.
Jamaa mbele ya Maafsa Magereza akaonekana akisema, Hana Mfungwa ambaye anatakiwa kua Treated hivi, mwingine vile, ...... Kesi inaweza sikiliza Kwa mtandaon tu... Kuna Ushahidi maandamano ya Wanachadema kwenye Kesi yalilenga kuleta Vita ....
( Japo Samia kakusifia kwakua unamtekelezea majukum yake, Mungu amekukataa Bashungwa, kakukataa katakata ) .
MAKONDA, kwenye huu Upuuzi wa Utekaji unaoendelea naye Yuko kimya, hamtetei Samia , Kawa Kimyaaa lakini naye namwambia NDOTO YAKE YA URAIS ASAHAU.
Kwa Ufupi, Bashungwa, Makonda ,Mtaka, SAHAUNI URAIS .
Siku zaja ambazo mtayalipia haya yote, Hamna MTU ataonewa, Bali SHERIA ITAKUA WAZI, IN FACT TUTAWAFUNGA TU GEREZANI, HAMNA NAMNA !!.