Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Mtaka naye anaingiaje kwenye ushetani huu unaoendelea? 😳Jambo pekee naloweza kumwambia Bashungwa Muda huu hapa, Ile ndoto yake ya kua Rais ASAHAU !! HAITOTOKEA AWE RAIS.
Jamaa mbele ya Maafsa Magereza akaonekana akisema, Hana Mfungwa ambaye anatakiwa kua Treated hivi, mwingine vile, ...... Kesi inaweza sikiliza Kwa mtandaon tu... Kuna Ushahidi maandamano ya Wanachadema kwenye Kesi yalilenga kuleta Vita ....
( Japo Samia kakusifia kwakua unamtekelezea majukum yake, Mungu amekukataa Bashungwa, kakukataa katakata ) .
MAKONDA, kwenye huu Upuuzi wa Utekaji unaoendelea naye Yuko kimya, hamtetei Samia , Kawa Kimyaaa lakini naye namwambia NDOTO YAKE YA URAIS ASAHAU.
Kwa Ufupi, Bashungwa, Makonda ,Mtaka, SAHAUNI URAIS .
Siku zaja ambazo mtayalipia haya yote, Hamna MTU ataonewa, Bali SHERIA ITAKUA WAZI, IN FACT TUTAWAFUNGA TU GEREZANI, HAMNA NAMNA !!.
Kazi kweli kweliJambo pekee naloweza kumwambia Bashungwa Muda huu hapa, Ile ndoto yake ya kua Rais ASAHAU !! HAITOTOKEA AWE RAIS.
Jamaa mbele ya Maafsa Magereza akaonekana akisema, Hana Mfungwa ambaye anatakiwa kua Treated hivi, mwingine vile, ...... Kesi inaweza sikiliza Kwa mtandaon tu... Kuna Ushahidi maandamano ya Wanachadema kwenye Kesi yalilenga kuleta Vita ....
( Japo Samia kakusifia kwakua unamtekelezea majukum yake, Mungu amekukataa Bashungwa, kakukataa katakata ) .
MAKONDA, kwenye huu Upuuzi wa Utekaji unaoendelea naye Yuko kimya, hamtetei Samia , Kawa Kimyaaa lakini naye namwambia NDOTO YAKE YA URAIS ASAHAU.
Kwa Ufupi, Bashungwa, Makonda ,Mtaka, SAHAUNI URAIS .
Siku zaja ambazo mtayalipia haya yote, Hamna MTU ataonewa, Bali SHERIA ITAKUA WAZI, IN FACT TUTAWAFUNGA TU GEREZANI, HAMNA NAMNA !!.
Mambo ya ajabu ni mengi sana dunia hii.Hii nchi huwa inanishangaza sana, eti bashite naye anaota kuwa rais!
Ajabu kuna watu wanatamani kabisa hilo litokee, wakiwemo baadhi ya ndugu zangu waliokunywa maji ya bendera ya kijani! Huwa nawachana vya kutosha.
Jamani ifike wakati nchi yetu tufikirie kuirudisha kwenye mstari ilioutoka tangu 2015 ikaanza kujiendea kama genge rasmi la maharamia.
Imagine bashite akiwa rais ataua watu wangapi katika awamu yake!
KWANI KUJITETEA MWENYEWE KUNA MFANYA AWE TOFAUTI KIVIPI SI NI MAAMUZI TU ACHEN UMBURULA WENYU WA KISENGEREMAJambo pekee naloweza kumwambia Bashungwa Muda huu hapa, Ile ndoto yake ya kua Rais ASAHAU !! HAITOTOKEA AWE RAIS.
Jamaa mbele ya Maafsa Magereza akaonekana akisema, Hana Mfungwa ambaye anatakiwa kua Treated hivi, mwingine vile, ...... Kesi inaweza sikiliza Kwa mtandaon tu... Kuna Ushahidi maandamano ya Wanachadema kwenye Kesi yalilenga kuleta Vita ....
( Japo Samia kakusifia kwakua unamtekelezea majukum yake, Mungu amekukataa Bashungwa, kakukataa katakata ) .
MAKONDA, kwenye huu Upuuzi wa Utekaji unaoendelea naye Yuko kimya, hamtetei Samia , Kawa Kimyaaa lakini naye namwambia NDOTO YAKE YA URAIS ASAHAU.
Kwa Ufupi, Bashungwa, Makonda ,Mtaka, SAHAUNI URAIS .
Siku zaja ambazo mtayalipia haya yote, Hamna MTU ataonewa, Bali SHERIA ITAKUA WAZI, IN FACT TUTAWAFUNGA TU GEREZANI, HAMNA NAMNA !!.
Kama mmekubali kuongozwa na Samia Makonda anashindwaje.Heli mala mia tano kuongozwa na Makonda kuliko Samia.Hii nchi huwa inanishangaza sana, eti bashite naye anaota kuwa rais!
Ajabu kuna watu wanatamani kabisa hilo litokee, wakiwemo baadhi ya ndugu zangu waliokunywa maji ya bendera ya kijani! Huwa nawachana vya kutosha.
Jamani ifike wakati nchi yetu tufikirie kuirudisha kwenye mstari ilioutoka tangu 2015 ikaanza kujiendea kama genge rasmi la maharamia.
Imagine bashite akiwa rais ataua watu wangapi katika awamu yake!
Mtu ANAYEPATA CHEO KWA KUTEMBEA NA BIBI VIZEE ANAWEZA VIPI KUWA NA AKILI ?? YEYE NI CLOWN TU ..KAMA SANAMU .Jambo pekee naloweza kumwambia Bashungwa Muda huu hapa, Ile ndoto yake ya kua Rais ASAHAU !! HAITOTOKEA AWE RAIS.