Bashungwa: Bandari ikiongeza mapato, Tozo zitaisha

Bashungwa msikilize huyu mama๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
 

Attachments

  • IMG_1355.MP4
    11.3 MB
"4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?"
 
Huyu nae mbona anaingilia kazi ya wengine, atuambie kama tuna mabomu ya kutosha store, mengine ayaache.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ