Knock life
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 2,465
- 7,764
HakikaNdio tabia yake siku nyingi,watu wanataka maendeleo yeye mara apige picha anarina asali,mara yuko kwenye saluni chafu ,mara anakunywa kahawa na wanyonge.Maigizo ya kitoto,umasikini sio sifa.
HakikaNdo tabia zao kipindi Cha uchaguzi kujifanya kuwa wapo karibu sana na wananchi kumbe ni maigizo tu,
Sasa kwa akili hizi,huyu anaweza kuisaidia serikali na nchi kweli kama Waziri!!???Bashungwa Ana mfumo wake wa kizamani Sana .
Anazunguka vijjini na kuwapiga picha watu waliochoka na kukata tamaa ya maisha na kuwarusha mitandaoni
Kwanza unafany kosa kubwa Sana na kudhlilisha watu
Pili ungekuwa smart ungepambana kuondoa umasikini huko vijijini.
Siyo yeye tu hata yule waziri wa maji jumaa awesu yupo hivyo.Ndio tabia yake siku nyingi,watu wanataka maendeleo yeye mara apige picha anarina asali,mara yuko kwenye saluni chafu ,mara anakunywa kahawa na wanyonge.Maigizo ya kitoto,umasikini sio sifa.
Hili ni tapeli tu halina loloteBashungwa Ana mfumo wake wa kizamani Sana .
Anazunguka vijjini na kuwapiga picha watu waliochoka na kukata tamaa ya maisha na kuwarusha mitandaoni
Kwanza unafany kosa kubwa Sana na kudhlilisha watu
Pili ungekuwa smart ungepambana kuondoa umasikini huko vijijini.
NshomileMnajifanya kama vile hamjui kabila lake na itikadi zao za kupenda sifa.
Mnajifanya kama vile hamjui kabila lake na itikadi zao za kupenda sifa.