Bashungwa hii tabia ya kuigiza unawapenda wananchi itakucost?

Bashungwa hii tabia ya kuigiza unawapenda wananchi itakucost?

Na Jenista mhagama kila panga pangua yumooo ila hanaga hata cha maana......

Waganga wakweli wapo 😁
N kale ka unafiki kake ka kupiga magoti na kugalauka sakafuni kanamsaidia
 
Screenshot_20250401_225843_WhatsApp.png
 
Wahaya (Haya tribe)
Wanyambo (Nyambo tribe)

Sio rahisi umkute muhaya amechoka kiasi hicho

Bashungwa ni Mnyambo na sio muhaya

Wahaya wanaptikana Bukoba mjini na Bukoba vijijini

Hao wanaobaki sio wahaya hata wale wakimboka sio wahaya
Vipi kuhusu wakazi wa Muleba. Wale ni kabila gani?
 
Bashungwa Ana mfumo wake wa kizamani Sana .

Anazunguka vijjini na kuwapiga picha watu waliochoka na kukata tamaa ya maisha na kuwarusha mitandaoni

Kwanza unafany kosa kubwa Sana na kudhlilisha watu

Pili ungekuwa smart ungepambana kuondoa umasikini huko vijijini.

End results, justifies the means, hiyo ndyo siasa
 
Ndio tabia yake siku nyingi,watu wanataka maendeleo yeye mara apige picha anarina asali,mara yuko kwenye saluni chafu ,mara anakunywa kahawa na wanyonge.Maigizo ya kitoto,umasikini sio sifa.
Kwani Hujui Wa Chama Gani
Chama Chake Hoi
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Bashungwa Ana mfumo wake wa kizamani Sana .

Anazunguka vijjini na kuwapiga picha watu waliochoka na kukata tamaa ya maisha na kuwarusha mitandaoni

Kwanza unafany kosa kubwa Sana na kudhlilisha watu

Pili ungekuwa smart ungepambana kuondoa umasikini huko vijijini.

Huyu mnafiki tu na hana maana! Anaonesha akisalimiana na watu wenye maisha duni kutafuta huruma na umaarufu wa hovyo!
 
Back
Top Bottom