issac77
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 5,850
- 12,742
Konekiesheni mkuu, huyu bwana ukimwangalia hata muonekano wake hasitahili cheo Cha ngaza ya juu ya kiuongoziHalafu ktk watu wanaothibitisha kuwa ccm wanawapa vyeo mazezeta ni huyu Bashungwa. Hata ongea yake tu unaouona utaahira wake lkn eti ndiyo waziri ambaye kila uteuzi yumo.
