Konekiesheni mkuu, huyu bwana ukimwangalia hata muonekano wake hasitahili cheo Cha ngaza ya juu ya kiuongoziHalafu ktk watu wanaothibitisha kuwa ccm wanawapa vyeo mazezeta ni huyu Bashungwa. Hata ongea yake tu unaouona utaahira wake lkn eti ndiyo waziri ambaye kila uteuzi yumo.
Siyo yeye tu hata yule waziri wa maji jumaa awesu yupo hivyo.
Ni mtindo wa viongozi wa ccm huku majumbani kwao kuna fensi na walinzi wa kila aina
mkuu ccm wap hv kpnd hki hta spika nae kalud kwao et anajengea nyumba mlemav na kujitangaza.. kamualika had mkuu wa wilaya utaona jinsi walivyowapumbav hawa watu!
Nadhani koneksheni yake kubwa nj uzezeta wake. Serikali nzima ukiiangalia kuanzia kwa rais mpk mawaziri unaweza ku-draw conclusion kuwa ujinga ni karata ya kupata cheo ndani ya serikali ya ccmKonekiesheni mkuu, huyu bwana ukimwangalia hata muonekano wake hasitahili cheo Cha ngaza ya juu ya kiuongozi
Ni ushamba na ujinga hakuna sifa hapo na kabila halihusiki.Mnajifanya kama vile hamjui kabila lake na itikadi zao za kupenda sifa.
SawaNi ushamba na ujinga hakuna sifa hapo na kabila halihusiki.
Siyo bado sana, hana akiliBashungwa bado Sana.
Na Jenista mhagama kila panga pangua yumooo ila hanaga hata cha maana......Halafu ktk watu wanaothibitisha kuwa ccm wanawapa vyeo mazezeta ni huyu Bashungwa. Hata ongea yake tu unaouona utaahira wake lkn eti ndiyo waziri ambaye kila uteuzi yumo.
Kwenda zako, usichore watu humuSimufahamu - ni wa Kagera?
Kwenda zako, usichore watu humu
Kagera ni wapi?Nieleweshe rafiki - ni wa Kagera?