ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,050
- 6,199
Ueshakisomaa?huyo mzee hata akaandika vitabu 20 vitatusaidia nini mambo ambayo hakufanya akiwa madarakani?
Yanga wanasema wapewe pointi zao 3. Mpinzani hakuonekana uwanjani muda uliopangwa 😆😆😆Walidhani Yanga ni lege lege kama vitimu vidogo hapo wametikisa nchi nusu ya wananchi ni Yanga watajuta kwa ujinga
Ishara mbaya sana kwa serikali yetu.Soma vizuri mkuu mimi namlaumu Bashungwa na Wizara yake kwa kucheza na unazi wa Watanzania kwa suala la soka, hasa YANGA na SIMBA.
Watu wana bet wake zao kwa unazi wa mechi hizi.
Wasituchezee.
Utaratibu ni every thing.
Mpira vs Sihasa.....FIFA hawataki kuchangamanaYanga wanasema wapewe pointi zao 3. Mpinzani hakuonekana uwanjani muda uliopangwa 😆😆😆
Hii mipango mmesuka nyie Uto ...Walidhani Yanga ni lege lege kama vitimu vidogo hapo wametikisa nchi nusu ya wananchi ni Yanga watajuta kwa ujinga
Huu uswahili umetukera sana!Bashungwa step down brother ....Uto wamekuponza!
Bashungwa alichaguliwa kuwa waziri wa michezo na Magufuli. Hivyo mtu wakulaumiwa kutuletea ujinga wote huu ni Magufuli.Mama hafai
sura yake tu ya kishamba mnoMimi si mpenzi kinda kinda wa Yanga lakini huwa naifuatilia sana.
Leo ilikuwa tuwafunge Simba ila pambano likaahirishwa kutokana na kujitokeza kwa shughuli nyingine ghafla ya kuzindua kitabu cha Mzee Ruksa.
Tatizo langu liko hapo!
Taratibu za kuahirisha pambano inabidi taarifa itoke masaa 24 kabla.
Sasa haya tunayoyaona niuswahili uliokithiri.
Hatuwezi kwenda namna hii.
Taarifa ya shughuli ya Mzee Ruksa haikujulikana mapema?
Usumbufu wa taratibu za maandalizi, wapenzi na mashabiki kufika na kuingia uwanjani mapema kuzuia kukanyagana milangoni, matayarisho yawalinzi wetu, wapenzi wameingia jijini toka mikoani, gharama zote hizi nani analipa?
Wizara husika na michezo imeleta furugu kwa wapenzi wa mpira YANGA na SIMBA.
Waziri na Wizara ikicheza na miamba hii ya soka nchini , hautaeleweka kamwe.
Na hapo ndio nasema Bashungwa anatakiwa kuwajibika, hatoshi.
View attachment 1777815
Aliyemteua ndo hatoshi na siyo mwanamichezoapokonywe uraia. kaniudhi sana
Yanga wangepigiwa simu toka juu wala wasingepinga TFF wamekurupuka. Hakuna mtu mkubwa wa kushindana na serikali sote tunajuwa waliyofanyiwa kina Manji aliyedhani wana yanga watatoka barabarani kumtetea lakini wallimkana asubuhi kama yesu alivyokanwa ndio siku Manji akajuwa nguvu ya serikali. JPM alisema na wale wanaofutafuta gari yake mnawatizama tu kwani alitokea hata mmoja siku ya pili. Manji akabaki peke yake hakuna cha Yanga wala wapambe. sasa nitajie nani huyo Yanga anaubavu wa kupinga ombi la serikali ingekuwa ni kweli. ila kuna watu tu wametumia nafasi kutoa maamuzi bila kuwashirikisha viongozi wa Yanga. wangewapigia simu kama serikali Yanga wasingekataa na uhakika.Walidhani Yanga ni lege lege kama vitimu vidogo hapo wametikisa nchi nusu ya wananchi ni Yanga watajuta kwa ujinga
Mimi si mpenzi kinda kinda wa Yanga lakini huwa naifuatilia sana.
Leo ilikuwa tuwafunge Simba ila pambano likaahirishwa kutokana na kujitokeza kwa shughuli nyingine ghafla ya kuzindua kitabu cha Mzee Ruksa.
Tatizo langu liko hapo!
Taratibu za kuahirisha pambano inabidi taarifa itoke masaa 24 kabla.
Sasa haya tunayoyaona niuswahili uliokithiri.
Hatuwezi kwenda namna hii.
Taarifa ya shughuli ya Mzee Ruksa haikujulikana mapema?
Usumbufu wa taratibu za maandalizi, wapenzi na mashabiki kufika na kuingia uwanjani mapema kuzuia kukanyagana milangoni, matayarisho yawalinzi wetu, wapenzi wameingia jijini toka mikoani, gharama zote hizi nani analipa?
Wizara husika na michezo imeleta furugu kwa wapenzi wa mpira YANGA na SIMBA.
Waziri na Wizara ikicheza na miamba hii ya soka nchini , hautaeleweka kamwe.
Na hapo ndio nasema Bashungwa anatakiwa kuwajibika, hatoshi.
View attachment 1777815
Wewe una kaufikteta uchwara kichwani.Yanga wangepigiwa simu toka juu wala wasingepinga TFF wamekurupuka. Hakuna mtu mkubwa wa kushindana na serikali sote tunajuwa waliyofanyiwa kina Manji aliyedhani wana yanga watatoka barabarani kumtetea lakini wallimkana asubuhi kama yesu alivyokanwa ndio siku Manji akajuwa nguvu ya serikali. JPM alisema na wale wanaofutafuta gari yake mnawatizama tu kwani alitokea hata mmoja siku ya pili. Manji akabaki peke yake hakuna cha Yanga wala wapambe. sasa nitajie nani huyo Yanga anaubavu wa kupinga ombi la serikali ingekuwa ni kweli. ila kuna watu tu wametumia nafasi kutoa maamuzi bila kuwashirikisha viongozi wa Yanga. wangewapigia simu kama serikali Yanga wasingekataa na uhakika.
Serikali inaweza kufanya lolote usijidanganye humu mitandandaoni toka barabarani fanya fujo halafu ndio utajuwa serikali inaweza au haiwezi. umeumia nini kama ulikuja na ndege rudi na ndege kwani ungeona mechi usingerudi kwenu? Mimi siungi mkono kilichotokea jana lakini serikali kama ni kweli ingewapigia viongozi wa Yanga chezeni saa moja sababu ni hii na hii hakuna wakukataa mwisho wa siku ilikuwa ni 2 hours tu ila TFF barua yao haikuwa na nguvu wala maelezo ya kujitosheleza huu ndio ujinga wa TFF. Mbona Yanga walitoka uwanjani huku wakishangilia tu.Wewe una kaufikteta uchwara kichwani.
Waambie hilo wananchi waliopanda mabasi, magari yao au kuja kwa ndege toka mikoani.
Watu wapumbavu tu wanaofikiri serikali inaweza fanya chochote na lolote, hata wananchi wakiumia.