Bashungwa hutoshi!

Bashungwa hutoshi!

Walidhani Yanga ni lege lege kama vitimu vidogo hapo wametikisa nchi nusu ya wananchi ni Yanga watajuta kwa ujinga
Yanga wanasema wapewe pointi zao 3. Mpinzani hakuonekana uwanjani muda uliopangwa 😆😆😆
 
Soma vizuri mkuu mimi namlaumu Bashungwa na Wizara yake kwa kucheza na unazi wa Watanzania kwa suala la soka, hasa YANGA na SIMBA.
Watu wana bet wake zao kwa unazi wa mechi hizi.
Wasituchezee.
Utaratibu ni every thing.
Ishara mbaya sana kwa serikali yetu.

Kama ni hivi, naogopa sana tunakokwenda.
 
Nchi hii kuheshimu sheria na kanuni ni msamiati, sijui ni ubabe na kuwaona watanzania ni mbumbumbu au ni kudharau haki za wananchi kwa interest za wajinga wachache wanaojiita watawala
 
The hallmarks of bad governance:
1. Arbitrariness
2. Ambiguity
3. Capriciousness
 
Bashungwa ni Yanga na tunataka kujua nini kilifanya abadili muda wa mechi? Bashungwa ndugu yangu why uyanga wako utufikishe huku? Hii hujuma tunataka tume huru chini mh Zungu mbunge wa Ilala [emoji23]
 
Bashungwa step down brother ....Uto wamekuponza!
 
Hii wizara wote wamepyaya. Hamna mtu pale, mama lazima aangalie jinsi ya kuleta watu wa kufanya kazi pale
 
Nimeamka bado najiuliza, hivi kuzindua kitabu cha mzee Ruksa na Mama akiwa mgeni Rasmi, limekuwa suala la kitaifa hadi kuahirisha mechi ya Yanga na Simba?

Hapa ndio mizania ya matukio imekorogeka.
Bashungwa out!
 
Mimi nadhani kuna mtu wizarani kaleta hili na nafikiri ni lile jitu linaitwa Dr Abbas sababu na uhakika ingekuwa ni kweli kuna maagizo toka juu halafu viongozi wote wa team mbili wangepigiwa simu na mamlaka za juu nakuwashauri kistaarabu kabla ya TFF kuadika kile kibarua sidhani kama tungefika hapa, ila kama yalikuwa maagizo tu bila kuwashauri kwa hekma kwanini tunafanya hivi siamini kama kuna kiongozi yoyote wa team angegomea ombi la serikali vingenevyo watu wangeishia kama kina Kaburu usicheze na serikali ila kwa hili nadhani Yule Dr au waziri mwenyewe.
 
Mimi si mpenzi kinda kinda wa Yanga lakini huwa naifuatilia sana.

Leo ilikuwa tuwafunge Simba ila pambano likaahirishwa kutokana na kujitokeza kwa shughuli nyingine ghafla ya kuzindua kitabu cha Mzee Ruksa.

Tatizo langu liko hapo!
Taratibu za kuahirisha pambano inabidi taarifa itoke masaa 24 kabla.
Sasa haya tunayoyaona niuswahili uliokithiri.
Hatuwezi kwenda namna hii.

Taarifa ya shughuli ya Mzee Ruksa haikujulikana mapema?

Usumbufu wa taratibu za maandalizi, wapenzi na mashabiki kufika na kuingia uwanjani mapema kuzuia kukanyagana milangoni, matayarisho yawalinzi wetu, wapenzi wameingia jijini toka mikoani, gharama zote hizi nani analipa?

Wizara husika na michezo imeleta furugu kwa wapenzi wa mpira YANGA na SIMBA.

Waziri na Wizara ikicheza na miamba hii ya soka nchini , hautaeleweka kamwe.

Na hapo ndio nasema Bashungwa anatakiwa kuwajibika, hatoshi.

View attachment 1777815
sura yake tu ya kishamba mno
 
Walidhani Yanga ni lege lege kama vitimu vidogo hapo wametikisa nchi nusu ya wananchi ni Yanga watajuta kwa ujinga
Yanga wangepigiwa simu toka juu wala wasingepinga TFF wamekurupuka. Hakuna mtu mkubwa wa kushindana na serikali sote tunajuwa waliyofanyiwa kina Manji aliyedhani wana yanga watatoka barabarani kumtetea lakini wallimkana asubuhi kama yesu alivyokanwa ndio siku Manji akajuwa nguvu ya serikali. JPM alisema na wale wanaofutafuta gari yake mnawatizama tu kwani alitokea hata mmoja siku ya pili. Manji akabaki peke yake hakuna cha Yanga wala wapambe. sasa nitajie nani huyo Yanga anaubavu wa kupinga ombi la serikali ingekuwa ni kweli. ila kuna watu tu wametumia nafasi kutoa maamuzi bila kuwashirikisha viongozi wa Yanga. wangewapigia simu kama serikali Yanga wasingekataa na uhakika.
 
Kwa nini msimlaumu katibu wa wizara ambaye ndiye mtaalamu?
Katibu alipaswa kumshauri waziri kuwa kanuni haziruhusu suala hilo,ijapo limewahi kufanyika kwa mechi ya Azam na Yanga.

Mimi naona wote Katibu,waziri,Katibu mtendaji TFF na mwenyekiti wake wote wanapaswa kuachia ngazi
Mimi si mpenzi kinda kinda wa Yanga lakini huwa naifuatilia sana.

Leo ilikuwa tuwafunge Simba ila pambano likaahirishwa kutokana na kujitokeza kwa shughuli nyingine ghafla ya kuzindua kitabu cha Mzee Ruksa.

Tatizo langu liko hapo!
Taratibu za kuahirisha pambano inabidi taarifa itoke masaa 24 kabla.
Sasa haya tunayoyaona niuswahili uliokithiri.
Hatuwezi kwenda namna hii.

Taarifa ya shughuli ya Mzee Ruksa haikujulikana mapema?

Usumbufu wa taratibu za maandalizi, wapenzi na mashabiki kufika na kuingia uwanjani mapema kuzuia kukanyagana milangoni, matayarisho yawalinzi wetu, wapenzi wameingia jijini toka mikoani, gharama zote hizi nani analipa?

Wizara husika na michezo imeleta furugu kwa wapenzi wa mpira YANGA na SIMBA.

Waziri na Wizara ikicheza na miamba hii ya soka nchini , hautaeleweka kamwe.

Na hapo ndio nasema Bashungwa anatakiwa kuwajibika, hatoshi.

View attachment 1777815
 
Yanga wangepigiwa simu toka juu wala wasingepinga TFF wamekurupuka. Hakuna mtu mkubwa wa kushindana na serikali sote tunajuwa waliyofanyiwa kina Manji aliyedhani wana yanga watatoka barabarani kumtetea lakini wallimkana asubuhi kama yesu alivyokanwa ndio siku Manji akajuwa nguvu ya serikali. JPM alisema na wale wanaofutafuta gari yake mnawatizama tu kwani alitokea hata mmoja siku ya pili. Manji akabaki peke yake hakuna cha Yanga wala wapambe. sasa nitajie nani huyo Yanga anaubavu wa kupinga ombi la serikali ingekuwa ni kweli. ila kuna watu tu wametumia nafasi kutoa maamuzi bila kuwashirikisha viongozi wa Yanga. wangewapigia simu kama serikali Yanga wasingekataa na uhakika.
Wewe una kaufikteta uchwara kichwani.

Waambie hilo wananchi waliopanda mabasi, magari yao au kuja kwa ndege toka mikoani.
Watu wapumbavu tu wanaofikiri serikali inaweza fanya chochote na lolote, hata wananchi wakiumia.
 
Serikali inaweza kufanya lolote usijidanganye humu mitandandaoni toka barabarani fanya fujo halafu ndio utajuwa serikali inaweza au haiwezi. umeumia nini kama ulikuja na ndege rudi na ndege kwani ungeona mechi usingerudi kwenu? Mimi siungi mkono kilichotokea jana lakini serikali kama ni kweli ingewapigia viongozi wa Yanga chezeni saa moja sababu ni hii na hii hakuna wakukataa mwisho wa siku ilikuwa ni 2 hours tu ila TFF barua yao haikuwa na nguvu wala maelezo ya kujitosheleza huu ndio ujinga wa TFF. Mbona Yanga walitoka uwanjani huku wakishangilia tu.
 
Back
Top Bottom