Bashungwa ndio afuataye 2030?

Bashungwa ndio afuataye 2030?

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Huyu kijana mwenye uhusiano mzuri na watumishi wa nyumba za ibada na na anyeng'aa kila wizara anayopelekwa je ndio afuataye?

Moja ya vipimo vya mtu kujua kama anakubalika ama laa huwa ni kugombea NEC kisha aone kukubalika kwake na wapiga kura.

Kwa kiasi hatua ya kwanza amefanikiwa hivyo hawezi kupuuzwa.
 
Acha kumharibia mtu wa Mungu huyo kijana hana kundi la kusifu na kuabudu na anajua kucheza na mfumo muache atulie, mwishoe utamharibia kabisa.
 
Tatizo litakuja pale watakajua kazoka wapi hata kama hana makundi ya aina ile!.
 
Huyu kijana mwenye uhusiano mzuri na watumishi wa nyumba za ibada na na anyeng'aa kila wizara anayopelekwa je ndio afuataye?

Moja ya vipimo vya mtu kujua kama anakubalika ama laa huwa ni kugombea NEC kisha aone kukubalika kwake na wapiga kura.

Kwa kiasi hatua ya kwanza amefanikiwa hivyo hawezi kupuuzwa.

Mbona hujamzungumzia namba moja Mahenda naye anafaa kuwa Rais , maana alimzidi Bashungwa.
 
Kwani kikwete alikubalika kwa kipi haswa alichokifanya?

Kikwete alibarikiwa kuwa na mvuto, ndio maana 2005 alivunja rekodi ya kukubalika Tanzania nzima. Sema kilichomfelisha Ni utendaji serikalini. Angekuwa mtendaji mzuri dhidi yanufisadi basi angeimbwa mpaka kesho.
 
Acha kumharibia mtu wa Mungu huyo kijana hana kundi la kusifu na kuabudu na anajua kucheza na mfumo muache atulie, mwishoe utamharibia kabisa.

Ina maana Karagwe na kule....
 
Back
Top Bottom