Emanueli misalaba
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 1,769
- 2,523
Broo Pascal Mayalla Mungu anawekaje serikali duniani?Ni Mungu pekee huweka serikali za mataifa.
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Broo Pascal Mayalla Mungu anawekaje serikali duniani?Ni Mungu pekee huweka serikali za mataifa.
P
YEYE ni yule mpangaji wa yote. Msome hapa Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!Huyu YEYE ni nani?
Kinjekitile Jr, Tundu Lissu awe wa nini?rais ajae ni ndugu tundu lissu........chuma kweli kweli huyu jamaaa,naona kabisa tutafika mbali
Hii nimewahi kuisoma my Broo Pasco, huyu yeye hapana si Mungu Muumba mbingu na ardhi,YEYE ni yule mpangaji wa yote. Msome hapa Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!
P
Ili mtu aweze kuwa rais wa nchi yoyote, ni Mungu pekee ndiye huwezesha!. Hili nimelieleza humu siku nyingi, tangu enzi za ile Lowassa fever Elections 2015 - Edward Lowassa sio lazima yeye tu ndiye awe Rais wetu 2015, Rais wetu wa 2015 ni...Broo Pascal Mayalla Mungu anawekaje serikali duniani?
Duh... JF tumemiss sana wachambuzi wa type hii, thanks.Jamaa wa singida kipengele Cha dini kitamfyeka Wala asipoteze Hela zake labda aaamue kuanza na ukatekumeni.
Jamaa wa Tanga hesabu zinamkataa anaefuata mgalatia yeye ni mvaa kobazi hesabu zinamkataa hata tukilazimisha zimkubali kuna yule kijana wa mzee he is fit for the work more than this dude. And I think mzee nae ana ndoto zake. Na kusimenti legacy yake and the dynasty.
Yule wa lindi tuachane nae he isn't even worth for the job. We can't have the president who had walked 2 kilometers whining. Naaah!!
Yule wa Tabora no the guy ain't serious full of drama juzi nasikia kamgeua mtu shooting target. Damn!! It wanasiasa bhana.
Another lady to sit the chair Naaah!! Big NOO tushaona ya kuona enough is enough wako pale kama pambo tu. That job since the beginning disgned for men, Women for showcasing tu not their suitable position msije sema Nina stereotypes hapana huo ndio uhalisia.
Madam speaker noo big NOO!!
kuhusu yule wa archipelago huyu nae pengine umri utakuwa umemtupa by the time the position is vacant incase the sitting atakagombea another term and we can't afford two Moslem on the raw, wathethalonike will never love it. So kidizaini hesabu zinamkataa.
So The dude fron North west is cool for job and kasoma abroad tatizo anatoka Moja ya Yale makabila wazee waliyakataa for the job maana wanaweza jaza kabila zima tukageuka kama wale majirani zetu kule magharibi wamejazana kwenye nafasi zote kabila Moja hawana utengemano tena wanaishi kinafii tu.
Labda VeePEE apewe sema nae muanglikana Vatican na TEC hawatopenda sana hii show.
Aisee hii nchi Vipi.
Anyway hata mambo ya kufuata sijui dini na kabila matokea yake ndio kama hivi Kila mtu ana mis the puzzle.
Sio mbaya akija hata jamaa asiejukikana ila asiwe na vitabia vya mZiLaNkeNdE.
Shida yako kubwa hahutaki kuelewa jinsi upepo unavyo kwendaKinjekitile Jr, Tundu Lissu awe wa nini?
Kama ni wa JMT, Je Dipu Siteti wameamua hivyo wawende na upinzani?
Nimepewa maono kuwa Rais ajaye baada ya Samia ni Inocent Bashungwa!!
Ndoto imenionyesha jamaa akiapiswa mwaka ndio sijajua lakini maono yamesisitiza mara tatu kuwa baada ya Samia ni yeye.
Upepo upi?Shida yako kubwa hahutaki kuelewa jinsi upepo unavyo kwenda
Niliwahi kusema suala kama hili pahala ila watu wakanibeza, Bashungwa ni mtu wa kazi lakini sio wa porojo porojo za kisiasa..Mstaarabu sana kuweza kuongoza nchi kama Tanzania.
Hii nchi inataka mtu mwenye mdomo kama Magufuli, Chalamila (huyu sio presidential material), Selemani Jaffo, Hussein Mwinyi.
Bashungwa anafaa kwenye civil services huko katibu mkuu wa wizara, balozi, TISS huko wamtengeneza kuwa kigogo. Lakini nafasi za juu za siasa; porojo hawezi.
Hahah! shauri yenu mtatoboa siri za familia za watuAkasimamia harusi ya mpwawe, na kugharimia kila kitu, mtoto kuzaliwa copy right na uncle, mpwa akaachia, uncle akamiliki jumla!
As long as hatujataja jina lolote, la mtu yeyote, thenb no defamation!.Hahah! shauri yenu mtatoboa siri za familia za watu
Namuona mzee wangu Simbachawene mbaliZamu ijayo ni kanda ya kati,, mwigulu, Tundu lisu, Nyarandu ama simbachawin.. 😂😂
Sema yuko Humble sana ila smart sana amepita UjenziHuyo ndiye Rais wako utake usitake Kanisa wameshapitisha