Mnasahau ule Mkopo wa WBKwahiyo bila tozo vituo vya afya havijengwi ?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnasahau ule Mkopo wa WBKwahiyo bila tozo vituo vya afya havijengwi ?.
Wapuuzi Hawa wajingaHahahahah hii ndio ile umechukua hela kwa baba, mjomba, bamdogo na kaka mkubwa halafu zote unasingizia ni hela za mtihani 😂😂😂!
Kimbembe chake taarifa zimemrudia mzee... Sema kimeumana!!!
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Innocent Bashungwa amesema Serikali imejenga vituo vya afya 234 kutokana na fedha za tozo ya miamala ya simu ndani ya mwaka mmoja tangu kuanzishwa kwake.
Bashungwa ameyasema hayo leo Septemba Mosi wakati akizungumzia manufaa ya tozo hizo ambazo zimekuwa zikipingwa na wadau mbalimbali kwa sababu tofauti ikiwemo kutozwa mara mbili au zaidi.
Amesema hadi kufikia Desemba 2020, Serikali ilikuwa imejenga hospitali za wilaya 102, vituo vya afya 487 na zahanati 1,198.
Amesema serikali ilifanya tathmini ya hali ya hospitali hizo na kuja na mradi wa kujenga vituo vya afya kwenye kila tarafa.
Amesema katika tarafa 570, tayari serikali imejenga vituo vya afya 234 kwenye tarafa 207 ndani ya mwaka mmoja wa Rais Samia Suluhu Hassan ambaye aliingia madarakani Machi 19, 2021 baada ya kifo cha mtangulizi wake, Hayati John Magufuli.
“Kupitia tozo za miamala ya simu, tumeweza kujenga vituo vya afya 234 kwa Sh117 bilioni kwenye hizi tarafa 207 na kila kituo cha afya kimetugharimu Sh500 milioni.
“Ukiangalia toka nchi yetu imepata uhuru na awamu zote zilizotangulia, kuweza kujenga vituo vya afya 234 ndani ya mwaka mmoja, si jambo la kawaida,” amesema Bashungwa.
Amesema kinachopatikana kutoka kwenye kodi jumuishi, kinakwenda kutibu kiu ya wananchi ya kupata huduma za msingi kama vile afya, elimu na barabara na inasaidia kupunguza pengo kati ya wenye nanchi na wasio nacho.
“Tutaendelea kuhakikisha kwamba tunazitumia fedha hizi kutoa huduma bora za afya ya msingi katika maeneo mbalimbali nchini,” amesisitiza Bashungwa.
Kwa upande wa sekta ya elimu, amesema kutokana na idadi kubwa ya wanafunzi wanaojiunga na kidato cha kwamba, serikali inatakiwa kuendelea kujenga madarasa 15,000 kila mwaka ili kukidhi mahitaji hayo.
“Tathmini ambayo tumeifanya tunahutaji kuendelea kujenga madarasa yasiyopungua 15,000 kila mwaka hadi hawa waliopo kidato cha kwanza watakapoingia kidato cha sita, niwaombe Watanzania hii nchi ni ya kwetu tuendelee kuipa ushirikiano Serikali,” amesema Bashungwa.
Chanzo: Mwananchi
Tozo za kwenyeiamalampaka watu wa vijijini wanakatwa!Serikali ya Mama inawachekea naamini hata Mawaziri hawapendi huu utaratibu wa kuoleana kindezi na kudekezana bila sababu za msingi..
Na uhakika Mwendazake asingeruhusu huu utoto wa watu kukataa kulipa tozo za kuleta maendeleo..
Mwisho Hawa Hawa watu wa Dar wasiotaka kulipa tozo Wala hawana shida Wala kuona madhila ya watu wa Vijijini.

Hata ccm wememchoka Inabidi kila anapofika mahali au kuhutubia ccm watengeneze bango kubwa la picha yake ili wasio mpenda kumuona usoni wazame picha.Binafsi alipoingia huyu mama nilikuwa na matumaini makubwa sana hasa alipokuwa akitoa hotuba zake za mwanzo saivi sina matumaini tena sitaki kusikiliza hotuba zake tena
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Innocent Bashungwa amesema Serikali imejenga vituo vya afya 234 kutokana na fedha za tozo ya miamala ya simu ndani ya mwaka mmoja tangu kuanzishwa kwake.
Bashungwa ameyasema hayo leo Septemba Mosi wakati akizungumzia manufaa ya tozo hizo ambazo zimekuwa zikipingwa na wadau mbalimbali kwa sababu tofauti ikiwemo kutozwa mara mbili au zaidi.
Amesema hadi kufikia Desemba 2020, Serikali ilikuwa imejenga hospitali za wilaya 102, vituo vya afya 487 na zahanati 1,198.
Amesema serikali ilifanya tathmini ya hali ya hospitali hizo na kuja na mradi wa kujenga vituo vya afya kwenye kila tarafa.
Amesema katika tarafa 570, tayari serikali imejenga vituo vya afya 234 kwenye tarafa 207 ndani ya mwaka mmoja wa Rais Samia Suluhu Hassan ambaye aliingia madarakani Machi 19, 2021 baada ya kifo cha mtangulizi wake, Hayati John Magufuli.
“Kupitia tozo za miamala ya simu, tumeweza kujenga vituo vya afya 234 kwa Sh117 bilioni kwenye hizi tarafa 207 na kila kituo cha afya kimetugharimu Sh500 milioni.
“Ukiangalia toka nchi yetu imepata uhuru na awamu zote zilizotangulia, kuweza kujenga vituo vya afya 234 ndani ya mwaka mmoja, si jambo la kawaida,” amesema Bashungwa.
Amesema kinachopatikana kutoka kwenye kodi jumuishi, kinakwenda kutibu kiu ya wananchi ya kupata huduma za msingi kama vile afya, elimu na barabara na inasaidia kupunguza pengo kati ya wenye nanchi na wasio nacho.
“Tutaendelea kuhakikisha kwamba tunazitumia fedha hizi kutoa huduma bora za afya ya msingi katika maeneo mbalimbali nchini,” amesisitiza Bashungwa.
Kwa upande wa sekta ya elimu, amesema kutokana na idadi kubwa ya wanafunzi wanaojiunga na kidato cha kwamba, serikali inatakiwa kuendelea kujenga madarasa 15,000 kila mwaka ili kukidhi mahitaji hayo.
“Tathmini ambayo tumeifanya tunahutaji kuendelea kujenga madarasa yasiyopungua 15,000 kila mwaka hadi hawa waliopo kidato cha kwanza watakapoingia kidato cha sita, niwaombe Watanzania hii nchi ni ya kwetu tuendelee kuipa ushirikiano Serikali,” amesema Bashungwa.
Chanzo: Mwananchi
Tozo zimejenga vituo vya afya 234, JPM alijenga vituo vya afya nchi nzima 457 bila tozo.
Wakati huo samia alikuwa makamu wa Rais sada ni Rais.JPM alijenga vituo vya afya 457, aliwahi kuweka jedwali kuonyesha hivyo vituo, au uliamini zile propaganda zake? Kuna watetezi wa uongo ule ilikuwa ukiwaambia walete jedwali la hivyo vituo vilipo na gharama za ujenzi, wanaishia kutukana tu. Ukitaka kudhibitisha hiki usemacho, weka jedwali ww la hivyo vituo 457 vya afya alivyojenga.
Kwani huko vijijini ndio wanataka kukatwa hiyo tozo?Serikali ya Mama inawachekea naamini hata Mawaziri hawapendi huu utaratibu wa kuoleana kindezi na kudekezana bila sababu za msingi..
Na uhakika Mwendazake asingeruhusu huu utoto wa watu kukataa kulipa tozo za kuleta maendeleo..
Mwisho Hawa Hawa watu wa Dar wasiotaka kulipa tozo Wala hawana shida Wala kuona madhila ya watu wa Vijijini.
Wabunge waccm 2025 watakutana na neno tozo huko vijijini wajiandaeKwani huko vijijini ndio wanataka kukatwa hiyo tozo?
We fisi maji kwani hizo tozo twalipa kwa hiari au mwatuibia bila kupenda?Serikali ya Mama inawachekea naamini hata Mawaziri hawapendi huu utaratibu wa kuoleana kindezi na kudekezana bila sababu za msingi..