Basi akainuka mfalme mpya kutawala Misri,asiyemjua Yusufu (kitabu cha kutoka 1:8-10)

Basi akainuka mfalme mpya kutawala Misri,asiyemjua Yusufu (kitabu cha kutoka 1:8-10)

baba anjela

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2013
Posts
431
Reaction score
310
8 Basi akainuka mfalme mpya kutawala Misri, asiyemjua Yusufu.

9 Akawaambia watu wake, Angalieni, watu wa wana wa Israeli ni wengi tena wana nguvu kuliko sisi.

10 Haya! Na tuwatendee kwa akili, wasije wakaongezeka; tena, ikitokea vita, wao nao wasije wakashikamana na adui zetu na kupigana nasi, na kutoka katika nchi hii.
 
Back
Top Bottom