BASI BWANA!Jana usiku kuna jirani yangu amegombana na mke wake. Yalikuwa majira ya usiku mwingi kidogo, nadhani wengi walikuwa wamelala

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
BASI BWANA!

Jana usiku kuna jirani yangu amegombana na mke wake. Yalikuwa majira ya usiku mwingi kidogo, nadhani wengi walikuwa wamelala.

Sikutoka nje, lakini niwe mkweli. Sikuziba sikizi lau moja. Nilisikia kila walichokuwa wakijibizana. Hata ilipofika zamu ya mke kupigika, nilisikia sauti ya makonde na namna alivyokuwa akiomba poo.

Kwa experience yangu ya kutengeneza tukio kwa kusikia. Niliweza kufahamu sababu ya ugomvi ule.

Ngoja niwasimulie.

Ilionesha mke amemsaliti mumewe kwa kutembea na mwanaume mwingine, ambaye pia ni mume wa mwanamke mwenziwe.

Pengine hii haikuwa issue iliyomuumiza yule mwamba.

Ishu ni msg ambayo mume ameikuta kwenye simu ya mkewe. Jamaa alisema kwa kulalamika, "Kwahiyo ukaona haitoshi ukaamua umwambie nina maumbile madogo!"

Hii ina maana gani?

Mke alimwambia huyo mwanaume kwa msg, kuwa mumewe hamtoshelezi. Maumbile yake hayafikii kete.

Kauli hii ilinifanya nijitazame na mimi. Nilisikitika sana na kuingiwa unyonge muda huohuo.

Mimi na huyo aliyenangwa tumetofautiana umri tu. Hayo yaliyotajwa kwa jina la maumbile, hadi najihurumia.

Lakini kuna haja gani ya kutangazana madhaifu?

Mnakera bhana.
 
Jana usiku kuna jirani yangu amegombana na mke wake. Yalikuwa majira ya usiku mwingi kidogo, nadhani wengi walikuwa wamelala.View attachment 3135271

Sikutoka nje, lakini niwe mkweli. Sikuziba sikizi lau moja. Nilisikia kila walichokuwa wakijibizana. Hata ilipofika zamu ya mke kupigika, nilisikia sauti ya makonde na namna alivyokuwa akiomba poo.

Kwa experience yangu ya kutengeneza tukio kwa kusikia. Niliweza kufahamu sababu ya ugomvi ule.

Ngoja niwasimulie.

Ilionesha mke amemsaliti mumewe kwa kutembea na mwanaume mwingine, ambaye pia ni mume wa mwanamke mwenziwe.

Pengine hii haikuwa issue iliyomuumiza yule mwamba.

Ishu ni msg ambayo mume ameikuta kwenye simu ya mkewe. Jamaa alisema kwa kulalamika, "Kwahiyo ukaona haitoshi ukaamua umwambie nina maumbile madogo!"

Hii ina maaga gani?

Mke alimwambia huyo mwanaume kwa msg, kuwa mumewe hamtoshelezi. Maumbile yake hayafikii kete.

Kauli hii ilinifanya nijitazame na mimi. Nilisikitika sana na kuingiwa unyonge muda huohuo. Mimi na huyo aliyenangwa tumetofautiana umri tu. Hayo yaliyotajwa kwa jina la maumbile, hadi najihurumia.

Lakini kuna haja gani ya kutangazana madhaifu?

Mnakera bhana.
JESUS is love wotibilis wotibilis wotibilis FOOOGHEEEE

Nyau de adriz
 
Mwanamke akikuambia maumbile yako mwanaume ni madogo mjibu direct kuwa ni sawa unakubali ila mwambie na yeye atambue kuwa maumbile yake ya uuke ni makubwa pia na misuli yake ya uuke imelegea sana na unamvumilia tu!
Yap, maumbile ya mwanamke ni kama mpira(Kuvutika kulingana na kitu kilichoingia au kilichotoka). Kinachowaharibu ni umalaya.
 
BASI BWANA!

Jana usiku kuna jirani yangu amegombana na mke wake. Yalikuwa majira ya usiku mwingi kidogo, nadhani wengi walikuwa wamelala.

Sikutoka nje, lakini niwe mkweli. Sikuziba sikizi lau moja. Nilisikia kila walichokuwa wakijibizana. Hata ilipofika zamu ya mke kupigika, nilisikia sauti ya makonde na namna alivyokuwa akiomba poo.

Kwa experience yangu ya kutengeneza tukio kwa kusikia. Niliweza kufahamu sababu ya ugomvi ule.

Ngoja niwasimulie.

Ilionesha mke amemsaliti mumewe kwa kutembea na mwanaume mwingine, ambaye pia ni mume wa mwanamke mwenziwe.

Pengine hii haikuwa issue iliyomuumiza yule mwamba.

Ishu ni msg ambayo mume ameikuta kwenye simu ya mkewe. Jamaa alisema kwa kulalamika, "Kwahiyo ukaona haitoshi ukaamua umwambie nina maumbile madogo!"

Hii ina maaga gani?

Mke alimwambia huyo mwanaume kwa msg, kuwa mumewe hamtoshelezi. Maumbile yake hayafikii kete.

Kauli hii ilinifanya nijitazame na mimi. Nilisikitika sana na kuingiwa unyonge muda huohuo.

Mimi na huyo aliyenangwa tumetofautiana umri tu. Hayo yaliyotajwa kwa jina ldaa maumbile, hadi najihurumia.

Back
Top Bottom