Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,710
- 8,579
Tongoza Leo unganisheni vikojoleo kesho ebooo ,
Ulokole utawaumbua et mpk ndoa
Ulokole utawaumbua et mpk ndoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe maumbile unayo?BASI BWANA!
Jana usiku kuna jirani yangu amegombana na mke wake. Yalikuwa majira ya usiku mwingi kidogo, nadhani wengi walikuwa wamelala.
Sikutoka nje, lakini niwe mkweli. Sikuziba sikizi lau moja. Nilisikia kila walichokuwa wakijibizana. Hata ilipofika zamu ya mke kupigika, nilisikia sauti ya makonde na namna alivyokuwa akiomba poo.
Kwa experience yangu ya kutengeneza tukio kwa kusikia. Niliweza kufahamu sababu ya ugomvi ule.
Ngoja niwasimulie.
Ilionesha mke amemsaliti mumewe kwa kutembea na mwanaume mwingine, ambaye pia ni mume wa mwanamke mwenziwe.
Pengine hii haikuwa issue iliyomuumiza yule mwamba.
Ishu ni msg ambayo mume ameikuta kwenye simu ya mkewe. Jamaa alisema kwa kulalamika, "Kwahiyo ukaona haitoshi ukaamua umwambie nina maumbile madogo!"
Hii ina maaga gani?
Mke alimwambia huyo mwanaume kwa msg, kuwa mumewe hamtoshelezi. Maumbile yake hayafikii kete.
Kauli hii ilinifanya nijitazame na mimi. Nilisikitika sana na kuingiwa unyonge muda huohuo.
Mimi na huyo aliyenangwa tumetofautiana umri tu. Hayo yaliyotajwa kwa jina la maumbile, hadi najihurumia.
Lakini kuna haja gani ya kutangazana madhaifu?
Mnakera bhana.
Basi nipo vizuri.Walau uwe na cm 10+
Kwa hiyo ulishuhudia mwenzio akinyolewa nywele..BASI BWANA!

Picha tena😳😳 picha ya nn unataka🤷🏽♂️🤷🏽♂️😂😂Aaaah picha jamani 😂😂🙌🏾
Hio ya hao watu juu apo bwan 😂Picha tena😳😳 picha ya nn unataka🤷🏽♂️🤷🏽♂️😂😂
Wanatoshekaga sasa,akipata mguu mkubwa zaidi yako,anakunanga tu ata kama una kama pundaMkiwa mnatongoza muwe wawazi kbs mnawambia nyeti zenu zilivyo ili kuondoa usumbufu baadae
6 kwenda juu ikiwa imesimama 5 kushuka chin ndo kipengeleHivi ili usiwe na kibamia inabidi iwe na cm ngapi? Unaweza kuta Nina kiba100 na sijui
Ubaya ubwela sio🤷🏽♂️😂😂😂😂Mwanamke akikuambia maumbile yako mwanaume ni madogo mjibu direct kuwa ni sawa unakubali ila mwambie na yeye atambue kuwa maumbile yake ya uuke ni makubwa pia na misuli yake ya uuke imelegea sana na unamvumilia tu!
Hiki changu nikikiangalia nakuona kabisa ni kibamia lakini wanasema mbo.o Mnyunguli mboo yako kubwa unaniumiza hahaha
Naomba kuuliza sifa ya kibamia ni ufupi au wembamba....maana yangu ni nchi 7 kasoro ila unene sio mkubwa sana
Bwana wee hiki changu ni kibamia.
Katiba ya uandishi wa habari ya kujitolea unanibana hailuusu kutoa siri za picha za mnatoHio ya hao watu juu apo bwan 😂
😢😢😢🚶🏾♀️🚶🏾♀️🚶🏾♀️ Daaah uhondo wa habar kwishaKatiba ya uandishi wa habari ya kujitolea unanibana hailuusu kutoa siri za picha za mnato