Basi gani linaenda Johannesburg Afrika Kusini kutokea Dar es Salaam, Tanzania?

Hivi kwa nini mnakua wanyonge kupanda ndege hizi Malawi air au Rwanda air kwenda na kurudi tiketi tarehe ya kurudi iweke iwe ya mwezi ni laki nane naa tuu na unatumia muda mchache kufika na kupunguza risk na ukitaka Bus panda huko Zambia nenda ukapande ya Wazambia na Lusaka kuelekea Jhb chukua ya Wazambia pia...hizi zetu mpaka waje wazoee sio leo..
 
Hilo Mkombe sasa hivi ni laki 4, sasa ndio utaona hapo ni tatizo la exposure Tu Kwamtu ambaye Hana tatizo la papers.
 
Hivi kwa nini mnakua wanyonge kupanda ndege hizi Malawi air au Rwanda air kwenda na kurudi tiketi tarehe ya kurudi iweke iwe ya mwezi ni laki nane naa tuu na unatumia muda mchache kufika na kupunguza risk na ukitaka Bus panda huko Zambia nenda ukapande ya Wazambia na Lusaka kuelekea Jhb chukua ya Wazambia pia...hizi zetu mpaka waje wazoee sio leo..
Mkuu, si mimi ninayetaka kusafiri, ni "jamaa" yangu. Ameamua kutumia huo usafiri wa ardhini kwa makusudi, ili aweze kupita "border" nyingi. Lengo ni ili huko mbeleni passport yake iweze kumsaidia kupata visa ya kwenda "ng'ambo". Anaamini kuwa passport yake ikionekana imeshavuka mipaka mara kadhaa itamrahisishia kupata kibali cha kwenda "ughaibuni".
 
Back
Top Bottom