Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
OK sawa Mkuu safari njema..Mkuu, si mimi ninayetaka kusafiri, ni "jamaa" yangu. Ameamua kutumia huo usafiri wa ardhini kwa makusudi, ili aweze kupita "border" nyingi. Lengo ni ili huko mbeleni passport yake iweze kumsaidia kupata visa ya kwenda "ng'ambo". Anaamini kuwa passport yake ikionekana imeshavuka mipaka mara kadhaa itamrahisishia kupata kibali cha kwenda "ughaibuni".