Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
OK sawa Mkuu safari njema..Mkuu, si mimi ninayetaka kusafiri, ni "jamaa" yangu. Ameamua kutumia huo usafiri wa ardhini kwa makusudi, ili aweze kupita "border" nyingi. Lengo ni ili huko mbeleni passport yake iweze kumsaidia kupata visa ya kwenda "ng'ambo". Anaamini kuwa passport yake ikionekana imeshavuka mipaka mara kadhaa itamrahisishia kupata kibali cha kwenda "ughaibuni".
Mkombe sio BUS zuri mkuu?Tafadhali mwenye taarifa anisaidie.
Kuna basi jingine tofauti na Mkombe Luxury Coach?
Asanteniπ
Ni basi zuri, na binafsi ninalipenda kwa sababu ni la Mtanzania mwenzangu. Lakini kuna faida unapokuwa na chaguo zaidi ya moja.Mkombe sio BUS zuri mkuu?
πππOK sawa Mkuu safari njema..
Sikupata hiyo taarifa ya hiyo mkombe.Ni basi zuri, na binafsi ninalipenda kwa sababu ni la Mtanzania mwenzangu. Lakini kuna faida unapokuwa na chaguo zaidi ya moja.
Mkombe lilipata ajali hivi karibuni, hiyo ajali haijaathiri ratiba za safari?
Tafadhali mwenye taarifa anisaidie.
Kuna basi jingine tofauti na Mkombe Luxury Coach?
Asanteniπ
Tuma hela ya nauli nitakutumia tikiti siti ya katikati dirishani.Tafadhali mwenye taarifa anisaidie.
Kuna basi jingine tofauti na Mkombe Luxury Coach?
Asanteniπ
Lilipata ajali Jumanne wiki hii nchini Zambia. Lilikuwa linakuja Tz.Sikupata hiyo taarifa ya hiyo mkombe.
Nashukuru sana mkuu, lakini inavyoonekana ni Mkombe pekee ndilo lenye route ya Dar Es Salaam to Johannesburg.1. Royal Africa Luxury Bus
2. Shalom Bus
3. Mkombe Bus
Siyo kwamba sikuamini ila tuπ€£πππTuma hela ya nauli nitakutumia tikiti siti ya katikati dirishani.
πππNenda Facebook andika lukombe bus
Lipo. Laitwa BUBELE LOGISTICSTafadhali mwenye taarifa anisaidie.
Kuna basi jingine tofauti na Mkombe Luxury Coach?
Asanteniπ
πππLipo. Laitwa BUBELE LOGISTICS
Royal Africa Luxury busNashukuru sana mkuu, lakini inavyoonekana ni Mkombe pekee ndilo lenye route ya Dar Es Salaam to Johannesburg.
Wewe unaonekana Ni agent wa mkombe busLilipata ajali Jumanne wiki hii nchini Zambia. Lilikuwa linakuja Tz.
Hapana mkuu! Wala sijawahi kuwa na mawasiliano nao.Wewe unaonekana Ni agent wa mkombe bus