peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Nchi inateswa na rushwa rushwaMimi sio mwenyeji sana wamabasi ya abiria.
Ninaomba kuuliza! Je kuna basi lenye uwezo wa kubeba abiria 78 ?
Je basi hilo lilitokea mwanza je lilikaguliwa popote na polisi njiani ?
Je orodha ya waliofariki majina yao yako wapi?
Je majina ya majeruhi 60 yako wapi?
RPC tabora, OCD nzega na mkuu wa wilaya ya nzega bado wako ofisini na ni watumishi wa Zumma?
Source?
Leo nimemsikia mkuu wa mkoa wa Tabora akisema maiti watano hawaja tambuliwa.Mimi sio mwenyeji sana wamabasi ya abiria.
Ninaomba kuuliza! Je kuna basi lenye uwezo wa kubeba abiria 78 ?
Ilikuwepo Champion Bus moja Dar - Dodoma 2×3 ilikuwa na capacity ya 70 psgInawezekana lilikuwa na "tela" lake.Huwezi jua! Maana Tanzania kwa vibweka ni nambari wani.
Sasa hii ilikuwa na abiria 78!!!Ilikuwepo Champion Bus moja Dar - Dodoma 2×3 ilikuwa na capacity ya 70 psg
Sema ni yale mabodi ya Keko
Wanapanga ndoo Katikati si unajua Mabasi ya Wachagga 😀😀Sasa hii ilikuwa na abiria 78!!!
Mimi sio mwenyeji sana wamabasi ya abiria.
Ninaomba kuuliza! Je kuna basi lenye uwezo wa kubeba abiria 78 ?
Je basi hilo lilitokea mwanza je lilikaguliwa popote na polisi njiani ?
Je orodha ya waliofariki majina yao yako wapi?
Je majina ya majeruhi 60 yako wapi?
RPC tabora, OCD nzega na mkuu wa wilaya ya nzega bado wako ofisini na ni watumishi wa UMMA?
[emoji23][emoji23][emoji23]Wanapanga ndoo Katikati si unajua Mabasi ya Wachagga [emoji3][emoji3]