Basi la Alfa lililopata ajali Nzega lilibeba abiria 78. Je, kuna basi lenye uwezo wa kubeba abiria 78?

kuna mabasi yanajaza abiria kama ,Rumbesa vile, hadi abiria 100, kuna ndoo huwa wanaweka kwenye buti safari ikianza wanabadilisha zile ndoo zinakuwa siti
 
hii nchi Ina viongozi wa hovyo mno!
 
sawa.. toa abiria 8 lipo basi linabeba abiria 70 mza to dar?
 
sawa.. toa abiria 8 lipo basi linabeba abiria 70 mza to dar?

Hukumu ni baada ya ushahidi usioacha shaka:

1. Lori lilikuwa na watu wangapi?
2. Wafanyakazi was kwenye bus?
3. Watoto?

Kwanini kutokujikita kupata taarifa zote kwanza?

Zingatia: sikubalini na idadi ya watu kuzidishwa kinyume cha utaratibu.
 
Suala la overloading ni kuwaonea tu Polisi,shida ni abiria wenyewe!

Kwa nini upande gari lililojaa nyakati hizi ambazo usafiri siyo tatizo?

Unakubalije kufaulishwa ili kukwepa mizani na vituo vya ukaguzi vya polisi?
Raia tuna tabu sana mtu unatakiwa kujijali mwenyewe cha ajabu unasubiri polisi akujali wewe.
 
Kinachojitokeza na kuonekana barabarani kwa mikoa ya Kagera, Simiyu, Mara, Mwanza, Shinyanga na Tabora hakuna serikali bsrabarani, hivyo kila abiria alinde maisha yake!
Kuna gari za dar _geita ni hatari sana abiria wanasimama mpka mlangoni
 
Suala la overloading ni kuwaonea tu Polisi,shida ni abiria wenyewe!

Kwa nini upande gari lililojaa nyakati hizi ambazo usafiri siyo tatizo?

Unakubalije kufaulishwa ili kukwepa mizani na vituo vya ukaguzi vya polisi?
Naunga mkono hoja.
Maana gari zikikaribia vituo vya ukaguzi abiria hupandishwa bajaji. Na basi hubqki level kabisa
 
Duh usingekubali πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ™ŒπŸ˜‚πŸ™ŒπŸ˜‚πŸ™Œ..
Yaani ungepata hata costa tuu pale makambako stand mkuu
 
Ndani ya basi watoto walio na umri wa miaka minne hawalipi nauli na hawapewi siti japo nao ni abiria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…