Basi la Classic kutoka Kampala lililopata ajali Shinyanga lilikuwa limebeba Wazanzibari tu?

Mimi kilichonishangaza ni marehemu kuagwa na makamu wa pili wa rais.

Nikajiuliza mbona znz kuna misiba mingi lakini viongozi hawaendi iweje kwa hawa?

Nahisis watakuwa ni watu muhimu au viongozi waliofariki
 
Mimi kilichonishangaza ni marehemu kuagwa na makamu wa pili wa rais. Nikajiuliza mbona znz kuna misiba mingi lakini viongozi hawaendi iweje kwa hawa? Nahisis watakuwa ni watu muhimu au viongozi waliofariki
Inawezekana, attention imekuwa kubwa mno!
 
Hilo basi linaenda mpka south sudan
 
Labda ni wanafamilia waliokuwa wanatoka harusini au msibani.
 
Mbona wakati wa SHUJAA kila kitu ilikuwa ni nyie?

Tulia dawa iingie, ukijitikisa sindano itakatika..!
 
Sasa kama walikuwa wamelikodi Kuna tatizo gani? Juzi tumepokea Wanyakyusa basi zima toka Kyela kwenye harusi, na hapo utasemaje?
 
Ana hoja kuuliza hivyo, yani hoja yenyewe ya msingi ni je ni coincidence kuwa watu kutoka kanda moja ndio waliokuwa kwenye hilo basi au labda ilikuwa basi limekodishwa au kuna kitu gani.

Tatizo mnashindwa kung'amua vitu vyepesi kabisa.
"Naibu waziri wa mambo ya ndani ambaye ni Mzanzibar ndiye aliyewatembelea majeruhi na kamishna wa maafa kutoka SMZ."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…