Basi la Extra Luxury limekamatwa na mirungi 55kg

MABASI YA NAIROBI WAKITAKA KUKAMATA MIRUNGI WAKASACHI HAPA

UKIINGIA NDANI MWISHONI KABISA NYUMA
MNAPOKANYAGIA MIGUU YENU MTAONA SCREW PEMBEN.... ZILE ZIFUNGUENN MTAKAYOONA SIRIYENU...
 
MABASI YA NAIROBI WAKITAKA KUKAMATA MIRUNGI WAKASACHI HAPA

UKIINGIA NDANI MWISHONI KABISA NYUMA
MNAPOKANYAGIA MIGUU YENU MTAONA SCREW PEMBEN.... ZILE ZIFUNGUENN MTAKAYOONA SIRIYENU...

aah ndugu kausha bhana unazid kuharibu au na ww wamekutoa kwenye payroll
 
kenya mirungi ni halali na wana export kwenda ulaya ,sisi huku ni dawa za kulevya
ukivuka tu isibania ni yanauzwa kama mchicha, ukirudi sirari ni dawa za kulevya
Na usishangae kukuta kuna viongozi waandamizi wanakula mirungi lakini kuihalalisha ndio kitu hawataki.... mirungi na ganja vingepandishwa hadhi na kuondolewa kwenye kundi la madawa ya kulevya
 
Ina maana Basi liliacha highway na kuingia mtaani maana Same Majengo mapya ni juu kule mbali na barabara kama unaenda Shule yangu pendwa kiumeni Same boys
 
Kuna kenge kakanyaga waya.....aiseee inakuaga laana sana kama Kuna kirusi kwenye mission
 


Kwa hiyo huyo Dada anatumikia kifungo cha Maisha.
 


Anitha hakufungwa maisha, muachege umbea.

 
Ni machizi peke yao ndio hupakia hiyo kitu kwenye mbasi ya abiria.!! Hiyo bidhaa daily inaingia dar kupitia malorry
Sisi tunasafirisha na 250, Honda, nikitoka nayo pale Taveta saa 11 alfajiri napitia vichochoroni sipitii Holili.
Nakuja kutokea Himo, then Njiapanda, naanza kuisaka Mwanga, Same, Makanya, Hedaru, Mombo, Kabuku, Mkata, Wami, Msata, Nashusha mzigo wa Msata pale, naanza kuitafuta Bagamoyo, nashusha mzigo wa Bagamoyo then mie huyooooo mpaka Temeke Sokota yard, nashusha mzigo namkabizi Aziz Farasi anageuza nae kurudi Holili.

Note: Safari yote hiyo saa 10 jioni mzigo upo sokoni.

Ni salama kiusalama, ila ni risk kiafya ingawa tunakuwa tumekula nguo heavy sana mixer helmet na other protective gears
 
Biashara za kusafirisha vitu vilivyozuiliwa inatakiwa umakini sana. Msafirishaji inabidi kuwa very humble. Ukimzingua hata mtu mmoja kwenye cycle lazima kiwake. Sema askari nao baadae hukuambia aliyechoma. Namna pekee ya kuepuka KUTOKAMATWA NI NI KUTOJIHUSISHA KABISA NA HIZO BIASHARA.
 
Kwa sisi wasafirishaji wa kanda hii hilo si jambo la kishangaa.. tunabebeshwa mirungi bila kujua mara nyingi sana. Na mara nyingi huwa ni dili la hao wa usalama coz wakikushika hakuna namna unaeza chomoka. Kama ni siku ya mkubwa kusafisha jina ndo utakuta unakamatwa na waandishi wa habari wakiwa wameandaliwa kabisa.
 
Kumbe hela ya milungi ndio inayoendesha sIngida fountain gate!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…