wakukurupuka1
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 525
- 1,203
- Thread starter
- #21
Hyo gari hamna siku unaipanda isiaribikie njia...kama so singida basi itakuwa shinyanga...Yan ishakuwa kama Ni utaratibu...ila ss hiv imeamua ilale kabxa
Hahahha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hyo gari hamna siku unaipanda isiaribikie njia...kama so singida basi itakuwa shinyanga...Yan ishakuwa kama Ni utaratibu...ila ss hiv imeamua ilale kabxa
PoleniBasi la Kampuni la KIAZI KITAMU lenye Namba ya Usajiri T 889 DKL linalofanya safari zake Kutoka Mwanza kwenda Arusha limepata ajali na kudondoka eneo la Misungwi Mkoani Mwanza Leo alfajiri ya 23/03/2023.
Taarifa za Vifo bado hatujapokea zaidi ni majeruhi ya wahanga wa ajali hiyo.