Kama mwezi imeisha huku gari lilileta itilafu Kama hyo kwanza gia zilikataa kuingia tulivyofika igunga clutch ndo ikawa inshu sana, dereva alikomaa mpaka mbele ya nzega town pale uchama pipe ya upepo ikapasuka wakati huo miguu ya nyuma imechemka hatari na kuanza kutoa Moshi.Hatimae chuma imeisha yoteView attachment 1829359View attachment 1829360
Tsh. 350 milion. Wachina mungu anawaonaHatimae chuma imeisha yoteView attachment 1829359View attachment 1829360
Subiri kwanza tuchukue mpunga wetu bima[emoji2]Hiyo inafufuka ngoja ibebwe ipelekwe chuga baada ya miez 6 tu inakua piru japo ni ghrama lazma ifungiwe jiko jipya
Ukute una marejesho CRDB🙄Hatimae chuma imeisha yoteView attachment 1829359View attachment 1829360
Mkuu kandahar bad haijabilishwa jina ila inaonekana walikua shea sahiv wamegawana ndo huyo wngne kaamua kujiita Mumuk alaf ajal kama hiyo unayo isemea imefanan na kisa cha Mghamba marcopolo na mm nilikua miongoni mwa abiria wa hiyo gari ile gar n mbovu na ingekua ni mchina ingeishia palepale igungaKama mwezi imeisha huku gari lilileta itilafu Kama hyo kwanza gia zilikataa kuingia tulivyofika igunga clutch ndo ikawa inshu sana, dereva alikomaa mpaka mbele ya nzega town pale uchama pipe ya upepo ikapasuka wakati huo miguu ya nyuma imechemka hatari na kuanza kutoa Moshi.
Cha ajabu hiki Basi kuanzia agent wao ifisini mpaka dereva, Kondakta, na tandiboi wote hawajitambui Yan walitaka kuendelea na safari kwa Hali Ile aisee wale jamaa hamna akili. Kahama tuliingia saa tatu kasoro sijui karagwe waliingia saa ngap.
Pia lile Kandahar kabla halijabadilishwa jina kuwa mumuk the same case ilitokea Dareda nafkiria Kama sio hawana mtaalamu nzuri wa kukarabati hizo gari Basi magari ya kichina yamechoka.
Wadau wanasema tangu kabadili jina kuwa mumuk Mambo sio Mambo bors angeacha kandahar
Bima wakimhurumia 70 milioni. Bus dhamani yake Tsh 350 milioni na linadaiwa CRDB.Subiri kwanza tuchukue mpunga wetu bima[emoji2]
Brother achana na mzungu atabaki kuwa mzunguNi ngumu kukuta scania, volvo, man Benz zimewaka moto
Namuona Mchina amekuja kukagua maiti yakeHatimae chuma imeisha yoteView attachment 1829359View attachment 1829360
Mgamba na Kandahar wale n pipa na mfuniko wanaowafatia n hajiz mbeya nadhani ukiwafuatilia Kuna kakitu Fulani utakagundua ndo utajua shida n nn.Mkuu kandahar bad haijabilishwa jina ila inaonekana walikua shea sahiv wamegawana ndo huyo wngne kaamua kujiita Mumuk alaf ajal kama hiyo unayo isemea imefanan na kisa cha Mghamba marcopolo na mm nilikua miongoni mwa abiria wa hiyo gari ile gar n mbovu na ingekua ni mchina ingeishia palepale igunga
Wale wahusika wa ile gar ni vichwa maji yani gari imetaka kuungua ikazimwa Moto tairi ya ndani ikabadilishwa alaf ikaendelea na safari ilikua ni hatari sana
Matajiri wa magari wanafilisiwa na kuingizwa kwenye hasara sana na wafanyakaz wao
Imekuwa ni kawaida kwa magari ya route hii ya kampuni hii kupata ajari. Ninachoshangaa waandishi wahabari hawaripoti. Nimeshapata ajari na mabasi haya kwa route hii Mara mbili kwa mwaka Jana.Duuu,
Naamini kama mizigo imetolewa basi watu wa salama...
Haya mamichina yamezidi...
Enzi za uhai wa marehemu.View attachment 1829184
aisee labda haitajiki uko ,atafute route nyingine ..awaachie wenyeji.Daah. Huyu jamaa mwenye kampuni naamini anapitia najaribu makubwa kwa route ya karagwe to Arusha. Nakumbuka mwaka Jana magari ya kandahari ya route hiyo yalipata ajari zaidi ya Mara mbili. Moja ya ajari nilikuwa abiria. Cha kushangaza yanapata ajari yakiwa yanatoka karagwe ni siyo wakati yanaelekea huko karagwe. Ila bahati yake ni kwamba hayaui abiria badala yake wanaumia na majeruhi kidogo na gari linabadilishwa abiria wanaendelea na Safari. Mmiliki anapashwa kujitafakari ni kwa Nini hii route imekuwa na majaribu kwa mabasi yake? Siyo ya wengine?
Hongera kwa kampuni ya uandishi wa namba za usajiliHatimae chuma imeisha yoteView attachment 1829359View attachment 1829360
Ahahhahaha kweli hili ni jibuKwa ajili ya kuonesha traffic
Mbona hiyo body inaonekana imetengenezwa bongoDuuu,
Naamini kama mizigo imetolewa basi watu wa salama...
Haya mamichina yamezidi...
Enzi za uhai wa marehemu.View attachment 1829184
Wachina haki ya nani watakuwa ndiyo watu wa mwisho kuiona pepo!Duuu,
Naamini kama mizigo imetolewa basi watu wa salama...
Haya mamichina yamezidi...
Enzi za uhai wa marehemu.View attachment 1829184