Basi la Mwendokasi lateketea kwa moto Kibamba

Aisee haya magari huwa hayakaguliwi na trafiki. Kuna haja ya kuyafanyia ukaguzi haya magari wa mara kwa mara maana hayapiti ktk macho ya trafiki tusije tukapepea nusu mlingoti.
Sidhani kama ukaguzi wa trafic utasaidia. Pia kwa ukaguzi wa hayo mabasi hakuna mlo kwa trafic kwa hiyo kazi hiyo sio kipaumbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…