Basi la Mwendokasi lateketea kwa moto Kibamba

Basi la Mwendokasi lateketea kwa moto Kibamba

Haya magari tulishayaona makosa yake...toka yalipoingia....tulikuwa na mchizi Kea ambae ni mtaalam tulifanya nae kazi Grinaker Lta
 
Ajali ya moto inakua mbaya ikiwa gari limepinduka au limegongana na kusababisha moto ikiwa hivyo limeanza kuwaka mfano Disk zimesababisha au Engine kupata moto watu wote watatoka salama maana mtauona moto ukianza mdogo mdogo nanyi mnashuka kwa kukimbizana...
Kwa muonekano wa lile basi chanzo cha moto lazima kitakuwa ni brake callipers na pads. Madereva wengi wa mwendokasi wanatumia brake vibaya. magari yakikuwa yanawastiri kwa upya wake sasa hivi magari yameshachoka disk brake zitawasumbua sana kwa moto.
 
Haya magari tulishayaona makosa yake...toka yalipoingia....tulikuwa na mchizi Kea ambae ni mtaalam tulifanya nae kazi Grinaker Lta
Shida yake ni kuja na mfumo wa brake za disk. Brake calliper likijam hutembei kilometer moja kabla hujasababisha moto. Na kuna uwezekano kuwa hawatumii genuine brake pads.
 
Shida yake ni kuja na mfumo wa brake za disk. Brake calliper likijam hutembei kilometer moja kabla hujasababisha moto. Na kuna uwezekano kuwa hawatumii genuine brake pads.
Pia Engine nyuma si afya kwa mazingira
 
Aliyenunua mabasi ya kichina kwenye mradi wa mabasi ya mwendo kasi ni muhujumu uchumi, awajibishwe
Kwenye huu mradi hata wangenunua mabasi ya wazungu bado yangekufa tu!!!

Naanza kuamini nidhamu ya kutunza /kujali vitu inajengwa utotoni...

Bahati mbaya wengi wetu hatukujengewa nidhamu hiyo! Tutabaki kunyoosheana vidole tu..

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom