Basi la Mwendokasi lateketea kwa moto Kibamba

Basi la Mwendokasi lateketea kwa moto Kibamba

Aisee haya magari huwa hayakaguliwi na trafiki. Kuna haja ya kuyafanyia ukaguzi haya magari wa mara kwa mara maana hayapiti ktk macho ya trafiki tusije tukapepea nusu mlingoti.

Trafic anakaguaga gari? Umelogwa wewe. Trafic anakusanya pesa, gari linakaguliwa gerage. Trafic ni wafanya biashara, nimeendesha gari miaka 30 sijawahi kaguliwa ubora wa gari na trafic
 
Taarifa ya abiria na dereva mbona haipo?
Ajali ya moto inakua mbaya ikiwa gari limepinduka au limegongana na kusababisha moto ikiwa hivyo limeanza kuwaka mfano Disk zimesababisha au Engine kupata moto watu wote watatoka salama maana mtauona moto ukianza mdogo mdogo nanyi mnashuka kwa kukimbizana...
 
Aisee haya magari huwa hayakaguliwi na trafiki. Kuna haja ya kuyafanyia ukaguzi haya magari wa mara kwa mara maana hayapiti ktk macho ya trafiki tusije tukapepea nusu mlingoti.
Nchi ya kitu kidogo Ndugu yangu, hayo magari is of very poor quality na Sio ya nchi za joto, Engine nyuma, umeshasikia Yale maikarus yameungua enzi hizo!? Just waende na brand nzuri waachane na hayo inferior quality
 
Aisee haya magari huwa hayakaguliwi na trafiki. Kuna haja ya kuyafanyia ukaguzi haya magari wa mara kwa mara maana hayapiti ktk macho ya trafiki tusije tukapepea nusu mlingoti.
Sema haya magari hayatoi rushwa kwa trafiki, hakuna trafiki anayekagua gari zaidi ya kuchukua rushwa au kuandika cheti.
 
Back
Top Bottom