Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,380
BASI LA SATCO NI WAAMINIFU SANA.
Jana kipindi natoka Mwanza kuja Dom kuelekea Dar, tulipofika Singinda stand nilishuka Mara moja lakini niliangusha VITAMBULISHO vyangu na Vijisenti.
Baada ya dakika 5 hivi nikaona simu inaingia kupokea naambiwa nimeangusha VITAMBULISHO na Pesa, kusogea kwenye gari wakanikabidhi Nyaraka zangu na Pesa Kama zilivyo.
Kazi nzuri aliyoifanya Dreva mwenyewe ambaye ndiye aliyeniokoa.....Ubarikiwe Sana Dreva wa Basi la SATCO, ni Mabasi mangapi wanauaminifu Kama huu@DODOMA-DON NALIMISON.