Basi la SATCO ni waaminifu sana walimuokoa Don Nalimison Singida

Naam Don

Sasa huu ndio wakati mubashara kabisa wa kukutana na P Funk baada ya wakati ule plan ku fail
 
Vipi ule uvimbe kichwani umepungua?
punguza fegi mkuu hivi sijaelewa hizo document na hizo fedha Uliziweka kwny wallet?
 
Umekuja na wale mademu wako wanaotikisa madako? Au umekuja na album yako pekee?
 
BASI LA SATCO NI WAAMINIFU SANA.

Jana kipindi natoka Mwanza kuja Dom kuelekea Dar, tulipofika Singinda stand nilishuka Mara moja lakini niliangusha VITAMBULISHO vyangu na Vijisenti. Baada ya dakika 5 hivi nikaona simu inaingia kupokea naambiwa nimeangusha VITAMBULISHO na Pesa, kusogea kwenye gari wakanikabidhi Nyaraka zangu na Pesa Kama zilivyo. Kazi nzuri aliyoifanya Dreva mwenyewe ambaye ndiye aliyeniokoa.....Ubarikiwe Sana Dreva wa Basi la SHTCO, ni Mabasi mangapi wanauaminifu Kama huu@DODOMA-DON NALIMISON.

View attachment 1537723

Hii sura niliiona juzi kati Makere.
 
Wazazi wa don,wanahasara yenye faida kubwa sana.............karibu dar uje ule visigino vya broiler na supu ya ngozi ya ugoko cow.
 
BASI LA SATCO NI WAAMINIFU SANA.

Jana kipindi natoka Mwanza kuja Dom kuelekea Dar, tulipofika Singinda stand nilishuka Mara moja lakini niliangusha VITAMBULISHO vyangu na Vijisenti. Baada ya dakika 5 hivi nikaona simu inaingia kupokea naambiwa nimeangusha VITAMBULISHO na Pesa, kusogea kwenye gari wakanikabidhi Nyaraka zangu na Pesa Kama zilivyo. Kazi nzuri aliyoifanya Dreva mwenyewe ambaye ndiye aliyeniokoa.....Ubarikiwe Sana Dreva wa Basi la SHTCO, ni Mabasi mangapi wanauaminifu Kama huu@DODOMA-DON NALIMISON.

View attachment 1537723
Bahat yako Makonda hayupo mwenye jiji lake, angekurudisha unapotoka
 
Back
Top Bottom