Basi la SATCO ni waaminifu sana walimuokoa Don Nalimison Singida

Civilian Coin

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
2,305
Reaction score
4,380
BASI LA SATCO NI WAAMINIFU SANA.

Jana kipindi natoka Mwanza kuja Dom kuelekea Dar, tulipofika Singinda stand nilishuka Mara moja lakini niliangusha VITAMBULISHO vyangu na Vijisenti.

Baada ya dakika 5 hivi nikaona simu inaingia kupokea naambiwa nimeangusha VITAMBULISHO na Pesa, kusogea kwenye gari wakanikabidhi Nyaraka zangu na Pesa Kama zilivyo.

Kazi nzuri aliyoifanya Dreva mwenyewe ambaye ndiye aliyeniokoa.....Ubarikiwe Sana Dreva wa Basi la SATCO, ni Mabasi mangapi wanauaminifu Kama huu@DODOMA-DON NALIMISON.

https://www.facebook.com/
 
Mkuu ukitaka upate Raha Tangaza unahamia CCM yaan hata kama unauza Unga utapokelewa vizuri na kupewa uDC changamkia fursa fasta maana nkikuangalia naona huna Tofauti na Ole Sabaya kabisa
 



 
Ilikuwa shilingi ngapi mkuu
 
We ni kiumbe adimu sana hapa nchini uwa nashangaa kwanni serikali itumie pesa nyingi kumtunza faru Fausta halafu wasifanye hivyo hivyo kwa watu kama wewe? Au tumeridhika na uchumi wa kati tu!
 
Change your mindset into postivity things will be alright on your side. Otherwise utayaaga majiji yote Tanzania.

Kuna shida ipo kichwani, kwa vile wewe ndiye mgonjwa unaona ni sawa tu mpaka apatikane mtu mkweli wa kukueleza na kutibu.
 
Kwahiyo umekubali rasmi kufukuzwa kazi yako ya ualimu?
 
We ni kiumbe adimu sana hapa nchini uwa nashangaa kwanni serikali itumie pesa nyingi kumtunza faru Fausta halafu wasifanye hivyo hivyo kwa watu kama wewe? Au tumeridhika na uchumi wa kati tu!
Unaimanisha na don akatunzwe kwenye mbuga ya wanyama CHATO Buligi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…