SAYVILLE JF-Expert Member Joined Mar 25, 2010 Posts 7,895 Reaction score 12,975 Mar 10, 2025 #2 Uchawi wao unadai damu sasa hivi ndiyo maana wanaweweseka. Umeshaondoka na mshabiki wao na umepiga gari la tawi lao moja. Hili litawasumbua saana.
Uchawi wao unadai damu sasa hivi ndiyo maana wanaweweseka. Umeshaondoka na mshabiki wao na umepiga gari la tawi lao moja. Hili litawasumbua saana.
NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 11,131 Reaction score 9,301 Mar 10, 2025 #3 Kama nchi tujitafakari,ila tutasikia mengi.