witacha matiku
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 722
- 237
Sasa kwani hiyo ishu..!? mie zilishanitokea mara kibaao..
hahaaa duu..Mkuu mie ticha mkongwe mwenye khali ngumu na majanga kibaao. Hawa walimu vijana ndo wanapata taabu kwa vitu kama hivi. Imenitokea day moja asubuhi subuhi nimepiga kiporo cha wali plus maharage na chai ya rangi, ile napiga pindi sijui hata ilikuaje nikajikuta "nimechinja mbuzi" kwa sauti ya juu mbele ya darasa sikupata taabu nikaendelea na pindi kwa mbwembwe kibaaao...
Kwani ulikuwa hujavaa under wear?
Nilikuwa nimevaa boxa sema nilikuwa nimechomekea halafu suruali ya kitambaa si unajua zilivyo!
shule ni mchanganyiko wasichana na wavulana halafu ni english medium nafundisha kiswahili grade v-vi hapa sipati picha keshoo!
Oya twiga na umri huu kweli...!? BTW ummu kulthum mzima!?
vitu vya kawaida sana, we ukiingia darasani usionyeshe kama jana kuna jambo lilijiri, endelea kufundisha kama kawaida. mim niliwahi kubiringika kwenye kangazi kiasi kwamba kufika chini mambo hadharani na wanafunzi wenyewe ndio walikuja kunisitiri na mim nikakausha hadi leo sijawahi kusikia tena
Usipatwe na kiwewe. Hayo ni ya kawaida (ajali kazini). Wakati mwingine wanafunzi darasani humcheka kichinichini mwalimu anapoandika ubaoni maana makalio hutingishika hususani walimu wa kike. Wanafunzi hupata furaha kuona hivyo 'vijimambo.'Basi kama mjuavyo mimi ni mgeni humu jf kwahiyo niombe radhi kama hii post haitakuwa mahali pake.,,
Bas after college nikaamua kutafuta tempo wakati nikisubiri serikali yangu sikivu. Mungu mkubwa nikapata shule moja kubwa tu hapa dar bas si unajua mwisho wa mwezi umekaribia? bas walimu full kupiga mzigo, basi leo after break time ticha nikaenda toilet faster ili niwah kipind, bas ile naingia class naanza kupiga pindi nikastuka mbona upepo unapuliza uku chini? halafu nikaona mbona watoto wamekuwa wapole kuliko siku zote? hata wale wasinziaji leo wako active? nikapeleka mkono downward loh! kumbe sikufunga zipuuu! basi sikujua nilitokaje mle clas,,
Kwanza pole sana mkuu!!Basi kama mjuavyo mimi ni mgeni humu jf kwahiyo niombe radhi kama hii post haitakuwa mahali pake.,,
Bas after college nikaamua kutafuta tempo wakati nikisubiri serikali yangu sikivu. Mungu mkubwa nikapata shule moja kubwa tu hapa dar bas si unajua mwisho wa mwezi umekaribia? bas walimu full kupiga mzigo, basi leo after break time ticha nikaenda toilet faster ili niwah kipind, bas ile naingia class naanza kupiga pindi nikastuka mbona upepo unapuliza uku chini? halafu nikaona mbona watoto wamekuwa wapole kuliko siku zote? hata wale wasinziaji leo wako active? nikapeleka mkono downward loh! kumbe sikufunga zipuuu! basi sikujua nilitokaje mle clas,,
Habari ya mke wangu weka kando. Niulize mimi mzima? Jibu ni ndiyo, kama jiwe la kimondo Mbozi.
Nyie "Watoto" wa siku hizi mnaogopa mpaka Twiga.