Basi leo nimeumbuka ticha mie..!

Basi leo nimeumbuka ticha mie..!

Aiseeeeeee, hii nayo kali lakini kawaida sana pole, endelea kuwapa watoto shule na maadamu hukufanya hivyo makusudi haina neno sana, ila siku nyingine uongeze umakini kabla ya kuingia class.
 
Mkuu mie ticha mkongwe mwenye khali ngumu na majanga kibaao. Hawa walimu vijana ndo wanapata taabu kwa vitu kama hivi. Imenitokea day moja asubuhi subuhi nimepiga kiporo cha wali plus maharage na chai ya rangi, ile napiga pindi sijui hata ilikuaje nikajikuta "nimechinja mbuzi" kwa sauti ya juu mbele ya darasa sikupata taabu nikaendelea na pindi kwa mbwembwe kibaaao...
hahaaa duu..
 
Nilikuwa nimevaa boxa sema nilikuwa nimechomekea halafu suruali ya kitambaa si unajua zilivyo!
 
ahsante kaka! nimebuni staili mpya kuchomoa shati ninapoingia clas halafu kuchomekea nikitoka! in case any thing hapen
 
vitu vya kawaida sana, we ukiingia darasani usionyeshe kama jana kuna jambo lilijiri, endelea kufundisha kama kawaida. mim niliwahi kubiringika kwenye kangazi kiasi kwamba kufika chini mambo hadharani na wanafunzi wenyewe ndio walikuja kunisitiri na mim nikakausha hadi leo sijawahi kusikia tena

i wish ningekuwepo kwenye kukusitiri, hahaha.......

ABBA- Chiquitita Lyrics - YouTube
 
Basi kama mjuavyo mimi ni mgeni humu jf kwahiyo niombe radhi kama hii post haitakuwa mahali pake.,,
Bas after college nikaamua kutafuta tempo wakati nikisubiri serikali yangu sikivu. Mungu mkubwa nikapata shule moja kubwa tu hapa dar bas si unajua mwisho wa mwezi umekaribia? bas walimu full kupiga mzigo, basi leo after break time ticha nikaenda toilet faster ili niwah kipind, bas ile naingia class naanza kupiga pindi nikastuka mbona upepo unapuliza uku chini? halafu nikaona mbona watoto wamekuwa wapole kuliko siku zote? hata wale wasinziaji leo wako active? nikapeleka mkono downward loh! kumbe sikufunga zipuuu! basi sikujua nilitokaje mle clas,,
Usipatwe na kiwewe. Hayo ni ya kawaida (ajali kazini). Wakati mwingine wanafunzi darasani humcheka kichinichini mwalimu anapoandika ubaoni maana makalio hutingishika hususani walimu wa kike. Wanafunzi hupata furaha kuona hivyo 'vijimambo.'
 
Basi kama mjuavyo mimi ni mgeni humu jf kwahiyo niombe radhi kama hii post haitakuwa mahali pake.,,
Bas after college nikaamua kutafuta tempo wakati nikisubiri serikali yangu sikivu. Mungu mkubwa nikapata shule moja kubwa tu hapa dar bas si unajua mwisho wa mwezi umekaribia? bas walimu full kupiga mzigo, basi leo after break time ticha nikaenda toilet faster ili niwah kipind, bas ile naingia class naanza kupiga pindi nikastuka mbona upepo unapuliza uku chini? halafu nikaona mbona watoto wamekuwa wapole kuliko siku zote? hata wale wasinziaji leo wako active? nikapeleka mkono downward loh! kumbe sikufunga zipuuu! basi sikujua nilitokaje mle clas,,
Kwanza pole sana mkuu!!

Ila mbona haya ya kawaida sana?!! Ila nusura univunje mbavu eti watoto walikuwa wapole kuliko kawaida? Eti hata wale wasinziaji leo walikuwa active? Ha ha ha haaaaaaaaaaaaa!! Hapo vitoto vilikuwa vinatafakari. Kosa ulilolifanya ni kule na wewe kujistukia halafu ukatoka nduki, hapo sasa ndo ungekuwa busy na kumwaga utilio, halafu unatoka kistaarabu bila ku-draw attention za watoto.

Nafikri siku hiyo kule majumbani ulikuwa "the big story" kwa vitoto wakati vinacheza. Pole sana Mkuu. Mimi mwenzio ilawahi kunitokea nimeenda kulipia ada za watoto wangu ofisini kwa Sister kumbe nimeenda bila kupiga lock, weweeee!! kuja kugundua ikabidi niwe mpole mpaka nilipotoka ofisini, ila aibu ilinitanda kwa kweli!!
 
Habari ya mke wangu weka kando. Niulize mimi mzima? Jibu ni ndiyo, kama jiwe la kimondo Mbozi.
Nyie "Watoto" wa siku hizi mnaogopa mpaka Twiga.

Acha hizo bhana, nimem miss shem wangu ujue, afu kumbe unakifahamu kimondo cha Mbozi, mara ya mwisho nimeenda pale mwaka 2007.
 
Back
Top Bottom