Basi leo nimeumbuka ticha mie..!

Acha hizo bhana, nimem miss shem wangu ujue, afu kumbe unakifahamu kimondo cha Mbozi, mara ya mwisho nimeenda pale mwaka 2007.

Kwa nini nisikifahamu kimondo wakati nimeisoma kwenye Geography ya darasa nne miaka ya tisini huko (by the way nafikiri ulikuwa hujaanza hata darasa la kwanza!!).

Halafu kuhusu mke wangu, huyo kaa naye mbali nasikia sasa hivi wewe ni Mwenyekiti wa kuvunja ndoa za watu chitchat
 
Sasa kwani hiyo ishu..!? mie zilishanitokea mara kibaao..

Mbona kawaida after lunch maofisini naonaga wanaume weng hawafungi hasa toka zipu zime replace vifungo. na kwenye saa 4 usiku karibu kila anaeenda uani akirudi pako wazi.
 
Hahahaha, inafanana na kisa kimoja hivi mwalimu alikuwa amesimamisha halafu ndani hajavaa hata boxer kavaa suruali ya kitambaa tu huku kachomekea sasa yule mwalimu kuona hali inazidi kuwa mbaya akawaambia wanafunzi nyumaa geukaa wanafunzi wakageukaa mwalimu harakaa kachukua mashine yake kaielekeza juu halafu kaibana na mkanda huku kachomekea kumbe kaibana vibaya ikawa imetokea chini ya kifungo cha shati mwalimu akawaambia wanafunzi mbeleegeukaaa wanafunzi wakawa wanacheka mwalimu akawa anashangaa wanacheka nini wanafunzi kujiangalia anaiona imetokezaa
 
kawaidaa tu ktk mfumo wa maisha y bnadam,smtm kuaibika,smtm shida na mitihan kibao,raha na dhihaka,ungefunga zipu,then ungetumia autocratic method of teaching,
 

Kwani wameiona??? basi kama wameiona huvaagi hata bukta wala boxer duh hatari,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…