D DENAMWE JF-Expert Member Joined Dec 29, 2019 Posts 862 Reaction score 871 Jul 8, 2024 #1 Nahitaji basi linalosafiri kati ya Nairobi na Kigali likipitia mpaka wa Rusumo nchini Tanzania. Naomba kufahamu jina la kampuni na ikiwezekana na nauli.
Nahitaji basi linalosafiri kati ya Nairobi na Kigali likipitia mpaka wa Rusumo nchini Tanzania. Naomba kufahamu jina la kampuni na ikiwezekana na nauli.