Basi sawa, tuma salamu kwa watu wawili

Basi sawa, tuma salamu kwa watu wawili

Attachments

  • downloadfile-3.jpg
    downloadfile-3.jpg
    89 KB · Views: 2
Natuma samaleko zangu za mwisho usiku huu wa Leo kwa Theresa49

Ujumbe ni kuwa amenichekesha Sanaa ... Mungu akupe maisha marefu yenye mafanikio sana
Yani acha tu, huku duniani tunapitia mengi. I hope ni kweli mbinguni tutapumzika maana tutafika tumechoka 😅😅

Mi salamu zangu ziende kwa Mbaga Jr maana naye nahisi anazo kama zile nilizokosea kumtumia best yangu.
 
😂😂 ni ukweli mbinguni tutampumzika, tukibaa wimbo wa Musa na Mwana Kondoo!

Maana hii mbungii ya huku duniani sio poa hata kidogo 😂 ....
 
Yani acha tu, huku duniani tunapitia mengi. I hope ni kweli mbinguni tutapumzika maana tutafika tumechoka 😅😅

Mi salamu zangu ziende kwa Mbaga Jr maana naye nahisi anazo kama zile nilizokosea kumtumia best yangu.
Huyu Mbaga Jr ni mpare wa wapi huyu? Thelaaaa herehoaaa! 😂

I will use him as the point of contact kutuma samaleko zangu kwa Pastor David Mbaga, ujumbe ni kuwa nilikimbia masomo ya u pastor pale Arusha university.

Madam Ryakitimbo anajua Hilo 😂
 
Back
Top Bottom