Basi sawa, tuma salamu kwa watu wawili

Natuma samaleko zangu za mwisho usiku huu wa Leo kwa Theresa49

Ujumbe ni kuwa amenichekesha Sanaa ... Mungu akupe maisha marefu yenye mafanikio sana
Yani acha tu, huku duniani tunapitia mengi. I hope ni kweli mbinguni tutapumzika maana tutafika tumechoka πŸ˜…πŸ˜…

Mi salamu zangu ziende kwa Mbaga Jr maana naye nahisi anazo kama zile nilizokosea kumtumia best yangu.
 
Mh Rais wa Majobless Promax Dunianiiiiii Intelligent businessman kumbe tumeambiwa tutume samaleko kwa watu wawili tu πŸ˜‚

Sisi tumetuma zaidiii ... Sasa Mimi kama msemaji wa majobless napenda kuwakaribisha kwenye chamaa
watu wawili per jumbe, Mimi natuma kadri niwezavyoπŸ˜‚
 
Yani acha tu, huku duniani tunapitia mengi. I hope ni kweli mbinguni tutapumzika maana tutafika tumechoka πŸ˜…πŸ˜…

Mi salamu zangu ziende kwa Mbaga Jr maana naye nahisi anazo kama zile nilizokosea kumtumia best yangu.
πŸ˜‚πŸ˜‚ ni ukweli mbinguni tutampumzika, tukibaa wimbo wa Musa na Mwana Kondoo!

Maana hii mbungii ya huku duniani sio poa hata kidogo πŸ˜‚ ....
 
Yani acha tu, huku duniani tunapitia mengi. I hope ni kweli mbinguni tutapumzika maana tutafika tumechoka πŸ˜…πŸ˜…

Mi salamu zangu ziende kwa Mbaga Jr maana naye nahisi anazo kama zile nilizokosea kumtumia best yangu.
Huyu Mbaga Jr ni mpare wa wapi huyu? Thelaaaa herehoaaa! πŸ˜‚

I will use him as the point of contact kutuma samaleko zangu kwa Pastor David Mbaga, ujumbe ni kuwa nilikimbia masomo ya u pastor pale Arusha university.

Madam Ryakitimbo anajua Hilo πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…