Basi sawa, tuma salamu kwa watu wawili

Basi sawa, tuma salamu kwa watu wawili

Samaleko samaleko! Ziwafikieeee ma uncle wote ambao wanasoma ... kesho ni shuleeee!

Ujumbe; wakiwa majobless wasiumiee Mimi na Rais wa majobless promax duniani Intelligent businessman tutawapokea
tuta wapokea kuwa fariji, ila hatuna senti za kuwapaπŸ˜‚.

kula wakija home, wata kula, ila nauli za kuwapa hatuna.
 
Pole mkuu
Asante sanaaa mkuu! Taarifa hizi zisimfimkie Mh. Rais wa Majobless Promax

Maana akijua atanipa likizo na nafasi ya msemaji wa CHAMA ntaipotezaaa.

Nitawalinda majobless
Nitawasemea majobless
Nitawapigania majobless

Kudumu chama Cha Majobless chini uwongozi thabiti za Mh. Rais wa Majobless Promax Intelligent businessman
 
Hahaha tutawapa chai ila Cha mchana ntawashauri wakibebe wale jioniii.

Nauli ya Nini? Watembee wafanye mazoezi huwezi kuwa na wanachama majobless wanene wenye vitambi

Katiba inakataa unene na vitambi unless otherwise uwe ni kuzaliwa na uwe na uthibitisho πŸ˜‚
 
Asante sanaaa mkuu! Taarifa hizi zisimfimkie Mh. Rais wa Majobless Promax

Maana akijua atanipa likizo na nafasi ya msemaji wa CHAMA ntaipotezaaa.

Nitawalinda majobless
Nitawasemea majobless
Nitawapigania majobless

Kudumu chama Cha Majobless chini uwongozi thabiti za Mh. Rais wa Majobless Promax Intelligent businessman
ugua pole ewe semaji la ma jobless pro max, Natumai uta pata nafuu mapema.

Ila chanzo ni nini??, Kama ni wizi nakuonya uache.
maana wata kuua semajiπŸ˜‚πŸ˜‚, au uta enda jela halafu sisi tupoteze msemaji muhimu
 
Asantee sana Mh. Rais

Siwezi kuibaaa, katiba ya chama Cha Majobless Promax inakataza wizi.

Nanukuu, Sheria namba 8 ibara ya pili;

"Ni Marufuku na haikubaliki katika Chama hili mtu kuwa mwizi au mdokozi wa Mali za watu kama fedha, vyakula, mke au mume n.k! ... Kumbuka msingi wa CHAMA chetu ni upendo na ushirikiano .. Ukikwama sema, kulala njaa siku moja, hakuui ila kuiba siku moja na kukamatwa unaweza kugeuka maiti isiyo na ndugu"

Mwisho wa kunukuu
 
Naam tuishi humu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

"Moriseee donti raaaan donti raaaan morise"
 
Can you imagine nimesoma hii comment na Ile sauti ikanijiaaa ya yule mazaaaa!

Nimechekaaaaa Sanaaaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Its mufireeee .... You made my day
 
Back
Top Bottom