Basi sawa, tuma salamu kwa watu wawili

Basi sawa, tuma salamu kwa watu wawili

Natuma samalu zangu kwa @ Leeyjad napenda kushukuru kwa kitabu cha sala nitumia nashukuru Mungu nipeta tumaini jipya

Natuma salamu zangu kwa @ singanojr napenda story yako ya Hamza na Regina

Natuma salamu zangu kwa @ pascal mayalla japo sikujui ila uzi wako wa " will powers" kwamba kila mtu ana nguvu ya uponyaji ndani huo uzi umenijenga sana
 
Natuma salam kwa Demi mama la mama mwenye maujanja yake kunako 6 x 6

Natuma salam kwa Evelyn Salt mtaalam wa 3some. Wike d ndio hiyo wapi tukapate burudani mammy

Natuma salam kwa financial services mwanamke mwenye akili zake na cpa juu. U r special...naja kula pilau langu hii jmosi
Unikome we jamaa nimefungua kanisa mie hizo mambo sitaki 🤸
 
Natuma salam kwa Kelsea mtoro mzuri mrembo i miss u future wife to be.

Natuma salam kwa Shadeeya mama yanga, kesho tunaan,a na gusa achia twende nbc 🤣🤣🤣

Batuma salam kwa Joannah mwana.ke wakipekee aliyeku ali kuridhika na kibamia changu na mie kuridhika na titi lake

natuma salam Aaliyyah toto zuri anayenikataa lakini nampenda.
Toka wawili hadi wanne. Lol. 🤣🤣

Ahsante kwa salam zako bana mzab tuko pamoja mtani wangu. 🙏
 
Haha kumbe mambo ya salam masharti ni 2 ila tufanye 2×3
...
naanza na mkuu patrickk popote ulipo kamata salam ya nguvu story yako imetufundisha wengi pole kwa masaibu, bila kumsahau master Mshana Jr mkuu tuelekeze vijana wa hovyo
mkuu wa majobless pro max Intelligent businessman kamata yakwako japo me mgeni na hatujuani humu ila nakuappreciate sana una kitu utafika mbali
...
nakwede97 kamata salamu na wewe huna baya unamwaga likes na wenzako Half american
Evelyn Salt Joanah realMamy nawakubali sana
LIKUD mkataa EMs wewe sikusahau kabisa 😀 pokea salamu
 
Back
Top Bottom