Basi sawa, tuma salamu kwa watu wawili

Natuma samalu zangu kwa @ Leeyjad napenda kushukuru kwa kitabu cha sala nitumia nashukuru Mungu nipeta tumaini jipya

Natuma salamu zangu kwa @ singanojr napenda story yako ya Hamza na Regina

Natuma salamu zangu kwa @ pascal mayalla japo sikujui ila uzi wako wa " will powers" kwamba kila mtu ana nguvu ya uponyaji ndani huo uzi umenijenga sana
 
Unikome we jamaa nimefungua kanisa mie hizo mambo sitaki 🀸
 
Toka wawili hadi wanne. Lol. 🀣🀣

Ahsante kwa salam zako bana mzab tuko pamoja mtani wangu. πŸ™
 
Haha kumbe mambo ya salam masharti ni 2 ila tufanye 2Γ—3
...
naanza na mkuu patrickk popote ulipo kamata salam ya nguvu story yako imetufundisha wengi pole kwa masaibu, bila kumsahau master Mshana Jr mkuu tuelekeze vijana wa hovyo
mkuu wa majobless pro max Intelligent businessman kamata yakwako japo me mgeni na hatujuani humu ila nakuappreciate sana una kitu utafika mbali
...
nakwede97 kamata salamu na wewe huna baya unamwaga likes na wenzako Half american
Evelyn Salt Joanah realMamy nawakubali sana
LIKUD mkataa EMs wewe sikusahau kabisa πŸ˜€ pokea salamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…