Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mamboo heri ya mwaka mpyaHarusi sio muhimu
mkorea mwenyewe umemuacha
🤣🤣🤣 nadhani maana alichangamka vibaya mnoHuyu mwana alikuwa tungi sijui maaana asubuhi hadi sasa amepotea aatakuwa anaugulia hangover 😂😂😂
😆😆😆😆😆😂😂😂 Sanaaa alafu anaonekana ni mwana sanaa hana roho mbaya coz alitoa salamu hadi basi
Mwaka huu haupitia Malkia wangu. Na watu wote humu jukwaani wataalikwa kuja kushuhudia hilo tukio.Sasa babe harusi ni lini
Daaaah! Wantakeee radhiiiii 😂Hakika mkuu umetuma salama nyingi
Ahsante kwa kutokuwa mchoyo
Eti wanasema ulikuwa vitu😂😂
Ahsante sana mkuu Senior🥰🥰
Karibu sana mzabzab pilau day ni sunday ila njoo ule pilau tu mbususu hamna😀😀Natuma salam kwa Demi mama la mama mwenye maujanja yake kunako 6 x 6
Natuma salam kwa Evelyn Salt mtaalam wa 3some. Wike d ndio hiyo wapi tukapate burudani mammy
Natuma salam kwa financial services mwanamke mwenye akili zake na cpa juu. U r special...naja kula pilau langu hii jmosi
Ilikuwa inasumbua sana Jana 😂Jf bhn raha sana...mic🎤🎤haitoi sauti 😂😂😂
Natuma samaleko zangu kwa MavamboooooooooooooHuyu mwana alikuwa tungi sijui maaana asubuhi hadi sasa amepotea aatakuwa anaugulia hangover 😂😂😂
Hahahaha wazeeee🤣🤣🤣 nadhani maana alichangamka vibaya mno
🤣🤣🤣 Umerudi mkuu, haya kazi iendee..Hahahaha wazeeee
Haha kumbe mambo ya salam masharti ni 2 ila tufanye 2×3
...
naanza na mkuu patrickk popote ulipo kamata salam ya nguvu story yako imetufundisha wengi pole kwa masaibu, bila kumsahau master Mshana Jr mkuu tuelekeze vijana wa hovyo
mkuu wa majobless pro max Intelligent businessman kamata yakwako japo me mgeni na hatujuani humu ila nakuappreciate sana una kitu utafika mbali
...
nakwede97 kamata salamu na wewe huna baya unamwaga likes na wenzako Half american
Evelyn Salt Joanah realMamy nawakubali sana
LIKUD mkataa EMs wewe sikusahau kabisa 😀 pokea salamu
Ingepita Leo nisingeitika, na kwako pia shemejiMamboo heri ya mwaka mpya