Basi sawa

Kuna yule jamaa aliyesema hamna media bongo inayo weza kumleta jay z sijui yupo wapi
 
Hahahhaaa hii ndo JF...Asante kwa gazeti.
 
Mara snoop mara Jay z, hasipo kuja snoop siendi popote, bora niangalie movies kwangu.
 
Jambazi Piga kimya ushaonesha udhaifu wako ustake kujitutumua imeonesha unaamini vitu vya kijinga.
Kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo wa kile acho kiamini! Wew ni kama nani wakunishurutisha nikae kimya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…