mtoto wa mjini
JF-Expert Member
- Jan 18, 2010
- 1,754
- 898
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo na wewe umeamini kabisa hii habari!Kuna yule jamaa aliyesema hamna media bongo inayo weza kumleta jay z sijui yupo wapi
haaaaaaa mkuu kwahiyo umeamini!Kuna yule jamaa aliyesema hamna media bongo inayo weza kumleta jay z sijui yupo wapi
Nina mashaka na uwezo wako wa kufikiri.Kuna yule jamaa aliyesema hamna media bongo inayo weza kumleta jay z sijui yupo wapi
Umeiamini hiyo habari?? Hao wenyewe clouds hawana huo uwezoKuna yule jamaa aliyesema hamna media bongo inayo weza kumleta jay z sijui yupo wapi
Hyo billion 5 wangewakmbka hata wahanga wa tetemeko lingekuw jambo la maana zaidi........
Wee uwezo wako wa kufikiria ni upi?Nina mashaka na uwezo wako wa kufikiri.
Inapoishia akili yako, ndio akili yangu inapoanzia kwa kasi ya 8G.Wee uwezo wako wa kufikiria ni upi?
Jambazi Piga kimya ushaonesha udhaifu wako ustake kujitutumua imeonesha unaamini vitu vya kijinga.Wee uwezo wako wa kufikiria ni upi?
Kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo wa kile acho kiamini! Wew ni kama nani wakunishurutisha nikae kimya?Jambazi Piga kimya ushaonesha udhaifu wako ustake kujitutumua imeonesha unaamini vitu vya kijinga.