Basilla Mwanukuzi: Wakweli hawatakiwi nchini. Uongozi wangu ni kuweka maslahi ya wananchi mbele hata ikibidi kukosa cheo

Basilla Mwanukuzi: Wakweli hawatakiwi nchini. Uongozi wangu ni kuweka maslahi ya wananchi mbele hata ikibidi kukosa cheo

Huyu atulie alijawa na kiburi alipopewa uongozi kiduchu
Asilalamike
Amesumbua sana watu Tanga anyamaze
 
Anasemaje huyu ? Asifikiri watu walikua hawamjui? Amesahau alichomfanya William Mngazija ?
Amefanya nini Cha ajabu tangu aje hapa?
Korogwe ndio mji pekee hapa duniani ambao katikati yake kunapita mto wenye maji mengi yanayozalisha umeme, lkn Korogwe HAKUNA MAJI YA BOMBA. MIAKA HII MITANO YA BASILA NDIO SHIDA YA MAJI IMEFIKIA KILELENI.
A kwendre huko.....
Basila kawa DC kwa miaka mitano? Jf Kuna wajinga wengi mno
 
Tanzania hakuna kiongozi muaminifu anayemjali mwananchi maskini, kuna madudu mengi yanayofanywa na hao viongozi bt ukisema tu kosa ww ni adui una wivu juu yao.
 
Maisha yana panda shuka nyigi. Atulie fursa zipo
ni kweli mkuu lakini mteuaji anatakiwa ajue ni kumpotezea mtu direction ya maisha. Imagine unaacha shughuli zako anakubali uteuzi, baada ya muda unatenguliwa, wakati huo muda wako mwingi uliuweka kwenye siasa, shughuli zako zikafa, unarudi kuanza upyaaaaa.
 
Wahenga walisema maisha nisawa na gwaride alieko mbele anaweza kua nyuma wakati wowote
 
Wahenga walisema maisha nisawa na gwaride alieko mbele anaweza kua nyuma wakati wowote
lakini ni kuharibiana maisha tu. unamteua mtu, anaacha misele yake kisha baada ya mwaka unamtengua. it is not fair. kwani ukuu wa wilaya una majukumu gani ya kutisha ambayo unalazimika kutengua na kuteua kila mwaka ilhali tunaelewa utendajji wote uko kwa DED?
 
Binafsi sifurahii kutenguliwa kwa huyo dada maana sijui utendaji wake.
Lakini wengine wapo ambao walitakiwa kutenguliwa lakini bado wapo.
Mfikishie dada pole zangu mwambie Mungu akifunga mlango huu atafungua ule
 
Back
Top Bottom