Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Hapa sasa game imeisha13 point mhh ishakuwa nyepes kwetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa sasa game imeisha13 point mhh ishakuwa nyepes kwetu
HakikaHapa sasa game imeisha
Sidhani aisee, Sudan wapo next levelHivi kuna timu Africa nzuri kama hawa SSD ishawahi kutokea?
Kwa basket ukiweka straight win unaweza kufa kwa presha. Angalia tu kilichotokea first halfWazee wa mikeka Sudan alipewa odd 3
Candit? Yupo Indiana pacers, anajua sanaHuyu Big wa Puertrico ana basket flani hivi vitu vyepesi ananyambulika kinoma
Kweli asee anaonekana tuu ana vitu vy tofautiCandid? Yupo Indiana pacers, anajua sana
Hata Nuni omot kazaliwa Kenya13 Deng was born in refugee camp in Kenya.
Anajua sana, kucheza tu pacers sio mchezo kabisaKweli asee anaonekana tuu ana vitu vy tofauti
Mimi huw napenda sana mtu anae nyambulika basket anaifanya nyepes mnoAnajua sana, kucheza tu pacers sio mchezo kabisa
YaahMimi huw napenda sana mtu anae nyambulika basket anaifanya nyepes mno
Easy game kwa USABadae USA na Serbia
Sidhani kama itakua nzuri, Serbia ni Nikola jovic tu. USA atapata easy winNitamiss hio game. Nitakuwa kwenye SGR from Dodoma to Dar
US anaimaliza hiyo game kirahisi sana subiri uoneMkuu sio rahisi hivyo. Serbia walifungwa ile warm up game kirahisi. Hii hawatakubali.