Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Ndio game yenye points nyingi hadi sasa kwenye first halfNapenda iwe hvyo lakini ngoja tuone
Sudan wapewe heshima kwenye basket
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio game yenye points nyingi hadi sasa kwenye first halfNapenda iwe hvyo lakini ngoja tuone
Hakika mkuuNdio game yenye points nyingi hadi sasa kwenye first half
Sudan wapewe heshima kwenye basket
Mm namkubali sana Nuni OmotPlaymaker wa Sudan ana futi 6 na point duhh
wakati kwa height hiyo kibongobongo ndio Big 🤔
Ngoja nimzingatie half hii inayokujaMm namkubali sana Nuni Omot
Mjinga huyu, kumbe hakuumia. Karudi aiseeYule msumbufu Alvaro anaweza kurudi
Sudan anapindua meza🙌Huyu GABRIEL jamaa jitu Lina miguvu dahh
,🤣🤣🤣🤣Itakuwa wamempiga misindano yao Ile ya ganzi sio bureMjinga huyu, kumbe hakuumia. Karudi aisee
Sasa sijui alikua analia nn
Ana ongoza hukoSudan anapindua meza🙌
Haitasaidia, meza ishapinduka😂,🤣🤣🤣🤣Itakuwa wamempiga misindano yao Ile ya ganzi sio bure
Imepigwa 3 points Kali sanaA
Ana ongoza huko
KUOL naona ana tuheshimsha wa SudanImepigwa 3 points Kali sana
Kabisa, washapindua gameKUOL naona ana tuheshimsha wa Sudan
Anapiga 3 points tuTusiempend kaja ALVARO
Au hakuumia mbona kaja na Moto mpyaKabisa, washapindua game
Ila Alvarado na hizi 3 points naona tunaanza tena upya
Bila huyu Puerto Rico hawana timuAu hakuumia mbona kaja na Moto mpya