Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 2,856
- 5,430
Dstv227channelNipo nje ya mji. Channel gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dstv227channelNipo nje ya mji. Channel gani?
Mm naangalia za franceDstv227channel
PoaNgoja niulize hapa kama wanayo
Lakini bado wapo vizuri sana, game na Spain niliwachukulia poa kumbe wanajua sanaPuertrico heights yao inawakaba sana
Hawa Ndugu zetu heights zao ni 7 point sio poa😁
Yahh wako vizuri sana sema ndio hvyo tuu huu mchezo ni WA makosaLakini bado wapo vizuri sana, game na Spain niliwachukulia poa kumbe wanajua sana
Hii game bado aisee, na ndio game inaenda first half ikiwa na points nyingiYahh wako vizuri sana sema ndio hvyo tuu huu mchezo ni WA makosa
Wanafungana sana aiseeHii game bado aisee, na ndio game inaenda first half ikiwa na points nyingi
Kuumia kwa Alvaro(10) ni pengo, kubwa sana na nimefurahi sababu anajua sanaHuyu mwamba wa puertrico sijui kama atarudi mhh injury
Alafu alikuwa msumbufu sana
Pamoja sana ROJAN RONDO huyu mwamba alinifanya niiipende sana Basketball alikuwa na kiganja ha mkono kikubwa sanaNishaipata. I'm watching. Thanks.
Cc Countrywide
Ndio game competitive hadi sasa, nilitegemea Australia na Spain iwe competitive lakini ikawa nyepesiNishaipata. I'm watching. Thanks.
Cc Countrywide
Msumbufu sana ana dribo vizuri ,ana shoot vizuri kifupi ana Kila kituKuumia kwa Alvaro(10) ni pengo, kubwa sana na nimefurahi sababu anajua sana
Kwenye 3 points alikua hakosiMsumbufu sana ana dribo vizuri ,ana shoot vizuri kifupi ana Kila kitu
Napenda iwe hvyo lakini ngoja tuoneKwenye 3 points alikua hakosi
Hii quarter tumeshinda, naamini second half SSD wanaenda kumaliza game