Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
Points mbili za jioni ndio zimewaokoa, walikua washalala 99 kwa 100
I'm happy for SS. Bball yao imekua sana, hawa ndo kidogo wametoa upinzani wakati US ilipocheza na wengine was a walk in the park.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Points mbili za jioni ndio zimewaokoa, walikua washalala 99 kwa 100
Karibu wote wanacheza USA college na wengine wamegusa NBA
African Men's Basketball Rankings 2024Aisee Bongo sijui tunakwama wapi. Hawa SS watoto wa wakimbizi leo top team ya Africa
Inabidi usome historia ya sudan (wanubi) ktk huu mchezo kwanzaNchi imepata uhuru 2011, muda mwingi wana vita leo anasimama na giants wa basketball duniani! Sisi sijui tuna laana?
Quoter ya ngapi?HT 58-44
Ye, SS wamenishangaza hata mmI'm happy for SS. Bball yao imekua sana, hawa ndo kidogo wametoa upinzani wakati US ilipocheza na wengine was a walk in the park.
Hao wa South Sudan wote wanakaa hukohuko marekani, tena wengi wao wamezaliwa hukoImagine USA aliwafunga Canada Serbia,Australia ila kwa S Sudan ana struggle.
Yule Mtoto Edward ana gemu nzuri sema maneno mengi na kujikweza hatofika mbali 🤔Ila US ina mastaa aisee[emoji1430]
Wametuheshimisha Africa
Duuhh wanetu wametu heshimisha 😁FT USA 101 SUDAN 100.